Upo sawa But Wachezaji wa Kiingereza wanayatafuta wakati Mwingine haya kwa sababu ya EGO's zao. Kwa Mfano Maguire alikuwa na nafasi ya Kujitoa kwenye Spotlight na kuanza Upya akiwa W/Ham ila kafikiria zaidi Fungu zaidi, so mda Mwingine unaona kama wanayajitakia, Kiuhalisia ni Mchezaji mzuri ila Sio wa Timu kubwa kariba ya UTD!
Angalia Mda huu sakata la SANCHO, Media za Uingereza zinapenda attention na timu kubwa zenye Fan Base kubwa, na ndo mana UTD habari zake zinakuwaga na Uzito. Players wengi kipindi hiki mapato Nje ya Soka hasa kwenye mitandao ya kijamii yanawaharibia. Messi na CR7 Umaarufu umewafa baada ya kuwa Serious na Kazi zao. Rodri among the Best DM's kwa sasa jamaa Uuzaji kakataa kabisa mana wanadai hana Akaunti Social networks {I stand corrected} Ni moja ya Old School Players ila Jamaa uwanjani ana Muendelezo mzuri sana wa Performance.
Wachezaji wa Kiingereza kwa sasa ni Bellingham tu naye tunampa muda, kwa Hawa walio na asili ya Ki-Black wanatatizo sana asee, Delle, Sterling, Rashy, Sancho, Sturridge, Odoi, list inazidi kwenda, ni aina ya wachezaji wasio na Consistency wamepata mikataba mikubwa wakiwa wadogo na imewaharibu sana. Kuna na mfano mkubwa Pogba {ile kukulia Uingereza}
Fergie na Pep angalia aina ya Blacks unawakuta katika timu zao, wanajielewa haswa na wafuata maelekezo, ikitokea wakijitoa ufahamu hata wawe na uwezo wa aina gani wataondoka tu!