Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jamani tuacheni huyu jamaa kuna kitu kinampoteza ni ishu ya kisaikolojia,Zaidi anavyoandamwa na kujiona mtu ambaye hana bahati basi ndio anazidi kufanya mistakes
Maguire alipofikia angejitoa kwenye Social Media kwa muda na akubali kuondoka United. United ndiyo timu inaongoza kuuza habari. Hivyo media zikipata habari mbaya inakuwa kubwa, hapo ndiyo na mashabiki wanaunga tela kufanya cyber-bullying
Upo sawa But Wachezaji wa Kiingereza wanayatafuta wakati Mwingine haya kwa sababu ya EGO's zao. Kwa Mfano Maguire alikuwa na nafasi ya Kujitoa kwenye Spotlight na kuanza Upya akiwa W/Ham ila kafikiria zaidi Fungu zaidi, so mda Mwingine unaona kama wanayajitakia, Kiuhalisia ni Mchezaji mzuri ila Sio wa Timu kubwa kariba ya UTD!

Angalia Mda huu sakata la SANCHO, Media za Uingereza zinapenda attention na timu kubwa zenye Fan Base kubwa, na ndo mana UTD habari zake zinakuwaga na Uzito. Players wengi kipindi hiki mapato Nje ya Soka hasa kwenye mitandao ya kijamii yanawaharibia. Messi na CR7 Umaarufu umewafa baada ya kuwa Serious na Kazi zao. Rodri among the Best DM's kwa sasa jamaa Uuzaji kakataa kabisa mana wanadai hana Akaunti Social networks {I stand corrected} Ni moja ya Old School Players ila Jamaa uwanjani ana Muendelezo mzuri sana wa Performance.

Wachezaji wa Kiingereza kwa sasa ni Bellingham tu naye tunampa muda, kwa Hawa walio na asili ya Ki-Black wanatatizo sana asee, Delle, Sterling, Rashy, Sancho, Sturridge, Odoi, list inazidi kwenda, ni aina ya wachezaji wasio na Consistency wamepata mikataba mikubwa wakiwa wadogo na imewaharibu sana. Kuna na mfano mkubwa Pogba {ile kukulia Uingereza}
Fergie na Pep angalia aina ya Blacks unawakuta katika timu zao, wanajielewa haswa na wafuata maelekezo, ikitokea wakijitoa ufahamu hata wawe na uwezo wa aina gani wataondoka tu!
 
View attachment 2749300

Wavulana wawili chali,
Narejea tena...wavulana wawili chali.

Mwanaume mmoja hajui ashike upande upi.

Mwanaume mmoja atabaki kuwa neutral

Mechi iendelee
Sancho akiondoka itamsaidia Erik Ten Hag kufikiria upya namna ya kufanya recruitment.

His squad is full of stupid lazy boys.
 
Pep na Ferg kwenye squad management ni level nyingine kabisa huoni wachezaji wa Pep wakileta ujinga wa nje ya uwanja.

Unaona workrate yao uwanja project ni ya Mwalimu ila wanafanya kazi kama ni ya kwao.
 
Kama Antony atacheza mwanzo mwisho, kisha Rashford left wings, Hodjlund kati sion beki ya Arsenal ikipanda maana wataunguza kibanda muda wowote, na hakuna mcgezaji hatari kama Rashford kwenye big matches.
Hivi vichezaji vikina Rashid cjui Martial vitazidi kuizamisha utd mpaka siku mkija kustuka timu iko championship.
 
There are doubts over Lisandro MartΓ­nez’s availability against Brighton.


#Telegraph
#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ[emoji1179][emoji3541]
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨[emoji2522]
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™[emoji837]
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™[emoji469]
#π™‚π™‚π™ˆπ™[emoji123][emoji41]

man utd |
 
It’s Facundo time [emoji123][emoji36]

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ[emoji1179][emoji3541]
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨[emoji2522]
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™[emoji837]
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™[emoji469]
#π™‚π™‚π™ˆπ™[emoji123][emoji41]

man utd |
 
[emoji599] Bruno Fernandes ranks π—‘π—¨π— π—•π—˜π—₯ π—’π—‘π—˜ in most expected assists this season in the Premier League. [emoji15]πŸͺ„

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ[emoji1179][emoji3541]
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨[emoji2522]
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™[emoji837]
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™[emoji469]
#π™‚π™‚π™ˆπ™[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Hivi vichezaji vikina Rashid cjui Martial vitazidi kuizamisha utd mpaka siku mkija kustuka timu iko championship.
So far, so good. Sancho aendelee kuwa kiburi tu January anaweza kufunguliwa mlango.

Msimu ujao hawa watu wasiwepo:

Martial
Maguire
Williams
Evans
Eriksen
Van de Beek
McTominay


Hawa ndiyo fagio litawapitia. Rashford sina tatizo naye atatusaidia kukamilisha ile homegrown quota. Maana msimu huu ilibidi wamsajili Evans kukamilisha idadi ya wachezaji wazawa. Garnacho ataleta competition kwa Rashy.
 
Mpk lini atafanya hivo wakati now watu wanataka results
 
ETH is cooking, inabidi aweke standards kwa players wake, refer jinsi pep alikuw unexpected kwa decision ya etoo, gaucho, Toure. Surely hakuna mkubwa kukiko ETH pale United kwa sasa.
Me naamin hii timu jamaa anaiweza,sio tusipoelewa mwanzon, ttamwelewa mwishoni.
OGS tulimwelewa mwanzon, mwishon akatuchanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…