Tatizo ni Glazers. January baada ya Ronaldo kuondoka EtH alimtaka Gakpo akaambiwa anaweza kusajili kwa mkopo tu, akamtaka Joao Felix ikashindikana kwasababu ya ada ya mkopo, Glazers wakagoma kutoa pesa ikabidi amchukue Weghorst. Msimu huu akataka RCB mpya ikaonekana kama atamsajili Min-Jae, Kim akaenda Bayern, akamtaka Pavard Glazers wakasema hakuna pesa mpaka auze wachezaji, Maguire akagoma kuondoka ikabidi EtH amsajili Evans.Swali
[emoji599]Ni waholanzi?
[emoji599]Wamewahi kucheza Erevedise ?
[emoji599]Waliwahi fanya kazi na 7hag au kutakiwa kipindi Cha nyuma?
Kama hawana hizo sifa hawawezi kutakiwa manjesta
Kocha mbovu tuu,Tatizo ni Glazers. January baada ya Ronaldo kuondoka EtH alimtaka Gakpo akaambiwa anaweza kusajili kwa mkopo tu, akamtaka Joao Felix ikashindikana kwasababu ya ada ya mkopo, Glazers wakagoma kutoa pesa ikabidi amchukue Weghorst. Msimu huu akataka RCB mpya ikaonekana kama atamsajili Min-Jae, Kim akaenda Bayern, akamtaka Pavard Glazers wakasema hakuna pesa mpaka auze wachezaji, Maguire akagoma kuondoka ikabidi EtH amsajili Evans.
Sasa hivi anamtaka El Ghazi kwasababu hana option nyingine na msimu bado mrefu sana na dirisha la usajili limefungwa.
Hawa wachezaji wengi wa mkopo na free agents hawana viwango vya kucheza United ila uongozi wa timu unamfelisha kocha maana hana namna.
Kichwa cha bata huyo Gabriel[emoji23][emoji23][emoji23] beki mwenyewe ni Magalasa, alikua anapelekewa moto mpaka anakaba kwa mikono.
Tena hii ilikua penalt kabisa lakini kwa masikitiko makubwa refa na chumba cha VAR wote jana waliibetia Arsenyo hawakua tayari kuchana mikeka yao. View attachment 2739036
Wamemshtukia jasusi
So wamepigwa?Kwenye goli nane ambapo Onana ameruhusu. Kipa aliye serious goli sita kati ya nane alikuwa anazuia. Tafuteni kipa wa kueleweka.