kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Tunajikaanga wenyewe kwa kushabikia sheria za kijinga. Unadhani kama sio wanaume kuruhusu misheria ya kijingakijinga haya yote yangetokea?Wanaume tunakaangwa vibaya sana na jinsia ile
Brighton wanajifua kwa nguvuHizi Nyumbu zimeanza kunenepa mtaani. Ligi zirudi tu.
Hao braitoni lazima wapakatwe. Unaweza kutunza hii meseji for further reviewBrighton wanajifua kwa nguvu
Huna mpira wa kuifunga BrightonHao braitoni lazima wapakatwe. Unaweza kutunza hii meseji for further review
Wew mwenyewe hujui mpira, umekaa tu kindezi mda wote hupo humu kwenye jukwaa la Manchester United ukikomenti utopolo tu.Huna mpira wa kuifunga Brighton
Nitarudi kukukumbusha hapa
Mimi nipo Jf toka 2009Wew mwenyewe hujui mpira, umekaa tu kindezi mda wote hupo humu kwenye jukwaa la Manchester United ukikomenti utopolo tu.
Unashindwa kufokasi na timu yako ya arsenal, na usichokijua huo utoto wako wew sio wa kwanza, tumeona maboya wengi zaidi yako kwenye hili jukwaa na walipoa wao wenyewe.
Ndio maana nakuambia wew ni boya, account yako inaonesha umejiunga jf 2013. Na usichokijua mie nimeijua jf tokea mwaka 2007. Kabla ya kujiunga, hivyo still narudia kusema wew ni mtoto bado hujawa matured, sababu ujinga unaokomenti hapa unadhihirisha nikwa jinsi gany ulivyo mweupe kwenye mpira wa miguu.Mimi nipo Jf toka 2009
Wewe ndio mgeni humu
Brighton wakiwakaanga utashika adabu vzr
Unalalamika Nini hasaNdio maana nakuambia wew ni boya, account yako inaonesha umejiunga jf 2013. Na usichokijua mie nimeijua jf tokea mwaka 2007. Kabla ya kujiunga, hivyo still narudia kusema wew ni mtoto bado hujawa matured, sababu ujinga unaokomenti hapa unadhihirisha nikwa jinsi gany ulivyo mweupe kwenye mpira wa miguu.
Unalalamika Nini hasaNdio maana nakuambia wew ni boya, account yako inaonesha umejiunga jf 2013. Na usichokijua mie nimeijua jf tokea mwaka 2007. Kabla ya kujiunga, hivyo still narudia kusema wew ni mtoto bado hujawa matured, sababu ujinga unaokomenti hapa unadhihirisha nikwa jinsi gany ulivyo mweupe kwenye mpira wa miguu.
Yes. Najua Flano Hana matusi. Nimesema tu zamani ulikuwa huweki picha za kukera kama Flano anavyofanya kwetu. Ila Kwa sababu Hawa jamaa wanatukana sana, Sasa umezidisha makali kwenye utani hadi picha sasa unawekaFlano hanaga matusi yule jamaa huwa tunataniana tu ,hata kwa picha
But Kuna mashabiki uchwara humu wao matusi wanaona Ni njia Bora zaidi
Kaangalie siku ile tume draw na Fulham walivyokuja kama nyuki jukwaa kwetu ,na tulivumilia
Wao wanakuja na matusi tu,
Sisi tumeamua kutotumia matusi Ni fact tu
Umekutana na wale 'haujui mpira' type. Wao pia ni vichekesho sanaUnalalamika Nini hasa
Ona hili boya jingine.Umekutana na wale 'haujui mpira' type. Wao pia ni vichekesho sana
ChildishUnalalamika Nini hasa