A club trained player is a player who was on the Club's register for any 3 full Seasons before the end of the Season in which he ceases to be eligible by age to play at Under 21 level.
Tungeamua sisi kucheza kwenye eneo la backline yetu kwa dk 10 tu tungepata goli ndani ya hizo dakika. Hii ni kwa sababu Onana angetoka na kuingia midfield, na sisi tungempiga chop kwa mbali.
UEFA Kuna nafasi wanatoa kwa wachezaji waliotoka kwenye academy za club au ndio club train halafu Kuna wachezaji waliotoka kwenye academy za nchi husika au ndio club associate
Majirani, nina swali.
Je kuna 'mutiny' pale United? Ok, mutiny ni strong sana. Yaani je kuna mvutano kati ya manager na baadhi ya wachezaji na kocha? Ukiacha Sancho, nani mwingine anavutana na kocha nyuma ya pazia?
Napendaa kuangalia posts za Mark Goldbridge YouTube. Ni bonge la ManUtd fan na he seems to think something is up, mpaka katumia neno 'mutiny'.
Allegation za kipumbavu sana. Ferguson hakubebwa na marefu. He was elite coach, kuwachukua manu ilipukuwa ina sua sua, uwezo wa kubadili wachezaj wasio hawakuwa na jina mpaka wakajulukana
Kwa record yake huwe ipata eti kwa kubebwa hakuna kitu kama hiko