Manchester United (Red Devils) | Special Thread

lindelof inaonekana amepata majeruhi kwa jinsi anavyotembea.
namuona jurrien timber na majiti yake
kama si break ya international, tungelicheza mechi zetu huku safu ya ulinzi ikiundwa na jonny evans pamoja na harry maguire.

Your browser is not able to display this video.
 
Elewa 7hag Hana uwezo wakufundisha soka la kisasa

Anazidiwa mbali na Ole guna

Kule Ajax hata mgunda anabeba Makombe
 
Erik 7Hag vs the top 6 away

7 games played
1 draw
6 losses

Greatest manager of all time??? [emoji3063][emoji3063][emoji3063][emoji3063][emoji3063][emoji3063][emoji3062][emoji3062][emoji3062][emoji3062]
 
Kweli we dunga,,

Tuletee mechi ambayo Halaand ana touches nyingi kuzidi Ederson.
Rashford +Anthony+ Martial wamezidiwa touches na Onana sasa hiyo timu au kikundi cha wahuni. Ni Haaland tu huwa anazidiwa touches na Ederson lakini kwa kuanzia kiungo na wingers wanakuwa na matouches ya kutosha pale Man c. Sasa unamuuza De gea halafu touches za Onana zinasaidia nini kama hazizalishi touches nyingi kwa washambuliaji?
 
7hag bhana ,anajifanyaga ana maamuzi magumu ,ameshindwa ku develop hiki kipaji anasingizia ujinga mwingine


Erik 7 hag

β€œJadon Sancho out? Based on performance on training we didn't select him”. [emoji599][emoji837] #MUFC

β€œYou have to reach the level every day at Manchester United. That’s why in this game he wasn't selected”.
 
During his press conference, Ten Hag defined Sofyan Amrabat as a number six before then saying he can play alongside Casemiro
 
[emoji599] Marcus Rashford has scored 28 goals against the Premier League 'Big Six'. [emoji122]

π—•π—œπ—š. π—šπ—”π— π—˜. π—£π—Ÿπ—”π—¬π—˜π—₯. [emoji3063]

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ[emoji1179][emoji3541]
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨[emoji2522]
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™[emoji837]
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™[emoji469]
#π™‚π™‚π™ˆπ™[emoji123][emoji41]

man utd |
 
[emoji599] Marcus Rashford is only the second #mufc player to score in 𝗧𝗛π—₯π—˜π—˜ consecutive Premier League games against Arsenal, after Robin van Persie. [emoji15][emoji122].

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ[emoji1179][emoji3541]
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨[emoji2522]
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™[emoji837]
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™[emoji469]
#π™‚π™‚π™ˆπ™[emoji123][emoji41]

man utd |View attachment 2737918
 
Rasmus Hojlund: "It really does [feel surreal to be at #mufc] It's incredible to be here now but I want to create some new great memories for the club and for my own career."


#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ[emoji1179][emoji3541]
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨[emoji2522]
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™[emoji837]
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™[emoji469]
#π™‚π™‚π™ˆπ™[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Dah! Ndo Mpira na Ndo Sheria ambazo still hazieleweki! Kongole kwa Arsenal kwa Ushindi ni moja ya timu zikitoa Ushindani ligi inachangamka
Game ya ya leo imekuwa Suprise kwa Wengi, Arsenal hawakutegemea Upinzani wa namna hii {1st Half hata Possession wanaojinasibu kui-master UTD iliwazidia}

Kikosi cha Leo kilichoanza Usajili Mpya ni Onana tu. Arteta Karibu Wachezaji wote ni usajili wake, So Project yake imefika Phase ya mbali. UTD imedhihirika kuna Players walotakiwa wawe wanaanza huko Crystal Palace! Martinelli kam-Bully AWB game yote, Kuumia kwa Martinez then unaona tunamweka Evance inakupa taswira ya tulipo, Martial ni talent ilopotea kwa Attitude Mbovu, Rashy usipofanya Counter hana anachokupa cha ziada {Game kubwa nyingi anang'aa sababu zinampa Uhuru wa Kukimbia} Tulikuwa na Timu yenye CR7, WAZZA, TEVEZ, DIMITAR, NANI et al. Hamna namna yoyote Rashy anaanza kwa hao so Kumtetea sana ni kukiri kushuka kwa Standard UTD!

AWB Positioning ni 0, Rice anatuliza mpaka anashoot hana hata wa kumgasi na akifanya Overlap hutegemei Afunge ama Atoe Assist Same Case kwa Dalot. Hojlund amekuwa na DK Chache tu ila unaona DEF wanajua wanakabana na CF sio hawa kina Martial, Rashy,

My wishlist bado naamni UTD inahitai RB {Bah /Vanderson/ Fresneda/ Hakimi} LW {Leao / Kvaratshelia} CB's {Diomande & Antonio Silva} na CF wa kusaidiana na Hojlund karata yangu ni Evan Ferguson. {Walau tukuze Standard tuna Deadwoods nyingi sana na Management ilikuwa ya Hovyo wamezifunga na Mikataba mikubwa kuwauza inakuwa kazi sana mana timu nyingi Wanashindwana kwenye Mishahara}

Kongole hamis77 mkorea Game Lazima iwe na Matokeo leo yamekuwa Upande wenu, Kiroho safi Hongereni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…