Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huu mpira wa ujanja ujanja tutacheza Hadi lini kocha wangu?[emoji17] kila big mechi sisi kubana mbupu tu aaah siku hizi hata na Timu ndogo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nikiongea Mimi wanasema na chuki

Mpira wakusubiri magoli ya miujiza
 
hivi Ten Hag aina yake ya uchezaji msimu huu ni upi? maana mimi naona counter attacks kama OGS
Mkuu Hakuna kocha hapo anasubiri form ya Rashford tu appate magoli

Timu inahemewa muda wote
 
Team imecheza vizuri leo hongera kwa kocha na wachezaji.Arsenal wameshinda lakini hawana furaha walitegemea tung'ekua wanyonge
 
Hii game imeharibika baada ya Maguire kuingia. Kocha akaona haitoshi akamuongeza na Evance.

Anyways performance ilikua nzuri kiasi chake, Arsenal walikua wanashindwa kufanya pressing effectively.
Kwa mara leo nimeona man u anaongoza possesion mbele ya arsenal, ingawa mambo yariharibika baada ya Martinez kutoka. Kuna puzzle ndogo kwenye midfield Th akiweza kusolve kutakua na improments mechi zijazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…