D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,021
Vijana wa Assno huwa
mnaingia na matokeo mfukoni mwenu yakitokea tofauti mnajipiga ban humu Jf pumbavu.
Kama Antony atacheza mwanzo mwisho, kisha Rashford left wings, Hodjlund kati sion beki ya Arsenal ikipanda maana wataunguza kibanda muda wowote, na hakuna mcgezaji hatari kama Rashford kwenye big matches.Kesho tusije fanya makosa kama yale yaliyopelekea mechi ikaisha 3-2
Arsenal wanamakelele sana ni muda wakuwakumbusha mkumbwa ni mkubwa tu skuzote
Hakuna kocha humo mechi zote za away anavua boxer mjinga sana huyuHii timu kama nataka kuisusia hivi ila match day nakuwa namzuka nayo tena.
Ngoja tuone 10Hag amepika nini leo.
Huyu jamaa sio kabisa. Kocha wa spurs juzi hapo tu lakini timu tayari ina ideology yake lakini ten hag mechi 3 zote tunacheza kama kindergartenHakuna kocha humo mechi zote za away anavua boxer mjinga sana huyu
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
π€Chelsea ni kama mende tuu makoti kibao alafu matako yapo wazi.Chelse a.k.a NGIRIPORI FC walikuwa eti wanatucheka wametutapeli kwa kutuuzia mason mount, ila kumbe wenyewe kikosi chao kizima ndio cha kitapeli.
NGIRIPORI FC.
SureNa hzi ndo game united anaondoka na point zote tatu
Atatolewa na machela. Jezi namba 11 itafunga goli
Wakumkaba nani? Regulion?Atatolewa na machela. Jezi namba 11 itafunga goli
Sure Rashford anawaweza sana. Tusimsahau Garnacho kama yupo. Hodjlund ni mgeni na kawaida mchezaji mpya (debut) huwa haanzi anaingia kipindi cha pili ningefurahi kama Rashford angeanza kati Garnacho kushoto (awaburuze/awakimbize first half) na kama kawaida Anthony kulia.Kama Antony atacheza mwanzo mwisho, kisha Rashford left wings, Hodjlund kati sion beki ya Arsenal ikipanda maana wataunguza kibanda muda wowote, na hakuna mcgezaji hatari kama Rashford kwenye big matches.