Manchester United (Red Devils) | Special Thread

T
whatever ila kadri tunavyofungwa ndo uwezekano wa moyes kutimuliwa unavyolkuwa mkubwa kuliko tukishinda

Too true. Bora tutolewe sasa hivi na Olympiakos kuliko kipita raundi hii alafu kwenda kudhalilishwa na kina Mardrid, Barca, Bayern, PSG, etc. The only good that will come out of beating Olympiakos is that Moyes will fool the boardroom for a few more days until the next big embarrassment (most likely the game against Man City). Best case scenario is tufungwe kesho nyumbani au tutoke droo, tufungwe au tutoke droo na West Ham, tufungwe na Man City (tena tufungwe vibaya). At that point even the most loyal supporters of Moyes will abandon ship and hopefully he then gets fired. Wamuachie Giggs aongoze timu hadi mwisho wa msimu afu watu waangalie mchakato wa kupata kocha anaefaa.


Najua SAF na madirector wa Man United wanataka United iwe tofauti na timu nyigine kwenye swala la kubadilisha makocha kila mara lakini falsafa hiyo inafaa kuitetea kama kocha aliepo anaonesha uwezo au dalili ya kuwa na uwezo wa kuleta mafanikio. Kwenye swala hili la Moyes akifukuzwa ni sawa maana sio kwamba anaonewa kama makocha wengine waliotimuliwa na timu nyingine kubwa hivi karibuni, bali ni kwasababu hajaonyesha uwezo.
 

Giggs bado sana kuachiwa timu ni bora arudishwe Mike Phelan
 

moyes akifukuzwa im sure hata yeye hatolalamika kwamba hajatendewa fair na badala ashukuru kwa kuachiwa kukaa almost msimu mzima kwa matokeo yale aliyoyaonyesha hana wa kumlaumu zaidi yake mwenyewe,its possible leo kagawa ataanza,kuna tetesi kwamba kapewa mechi tatu za kumuangalia hatma yake kwa inaovyyonekana ni kama vile wachezaji hawamtaki ila hawana ujanja wa kumtimua the only thing they can do ni kuunder perform,lets hope hizi tetesi za mechi tatu ni kweli though jana amezikanusha amedai kwamba united hawawezi kumfukuza kwamba hawana utamaduni huo wanaaim long term plan tofauti na klabu nyingine thats y wamempa mkataba wa miaka sita,so lets wait and see.the good thing kwake ni kwamba smalling kaumia so hatofanya balnder kama zamani alivyokuwa anfanya kumpanga smalling na kumuweka rafael nje so lets wait kwa kikosi chake atakachotangaza.
 
Naomba Mungu mechi ya leo tufungwe bao nyingi,mechi na Westham tufungwe mechi na Manshity tuzalilishwe hatimae Moyes akimbie mwenyewe.
 
Giggs bado sana kuachiwa timu ni bora arudishwe Mike Phelan

Akiachiwa Giggs timu ni sawa tuu. Kwa sasa United wanasubiri kumaliza msimu tuu sio kupata mafanikio yoyote. Premiership=gone, Top-Four=gone, Champions League=gone, FA Cup=gone, Capital One Cup=gone. Hata akiachiwa Ferdinand timu it doesn't make a difference all we a looking for is someone else to take the team to the end of the season. Baaada ya hapo atatafutwa kocha mwingine. Nimesema Giggs kwa sababu yeye ndo wenye experience kuliko wote katika watu wote (makocha na wachezaji) waliobaki United.
 

Can you imagine this ---- going on for the next six years!? I would shoot myself.
 
kwa kweli hali ni mbaya. mimi nilikuwa naomba MOYES apewe muda lakini nimegundua hata apewe miaka 6 hawezi kufanya chochote,hajui afanyacho na hii timu kabisa.

mechi ya leo naomba tushinde 2-1 tutoke ili tuepushe maumivu makubwa tunayoweza kupewa na BARCELONA,REAL MADRID,PSG,BAYERN,ATLETICO MADRID
 
Naomba Mungu mechi ya leo tufungwe bao nyingi,mechi na Westham tufungwe mechi na Manshity tuzalilishwe hatimae Moyes akimbie mwenyewe.
Kumbe tuko wengi wenye mawazo kama haya! Huwa najiuza, hao wanaomtetea hivi wanaakili kweli? Binafsi naomba jamaa (MOYES) apigwe hata risasi leo hii ili nipumzike na haya mateso.
 
I hope leo tutapata ushindi but Moyes anapaswa kufanya maamuzi magumu leo Chicharito aanze badala ya RVP then viungo waanze Carick,Felaini na Kagawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…