Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Most of football fans wanasema kwa pira makande pira butua butua la a Dutch David Moyes Erik 7 Egg

Hawaioni manjesta ikitoboa makundi UCL


Zaidi ya fans 100,000+ wanasema kwa manjesta hii ,Baryen na Gala ndio watavuka

Cha ajabu watakuja wapuuzi fulan humu wataniandama Mimi


Mimi Ni mjumbe tu
 
Unamuuza Henderson ,Kovar magoal kipa wazuri ,

Unaleta kipa wa Majaribio toka kilabu kinaitwa anatanyalisp huko,

Means safari hii Carabao energy drink cup ,FA cup na January,Omama akienda AFCON huyu mcheza movie za uturuki ndio akae Golini

Nyumbu mko serious kweli



7hag ruined talents coz ana ZERO TALENT ID

 
Wewe auna uwezo wa kunifunga hata goal 4 toka miaka na miaka unapiga kelele tu.
 
Ina maana hawamuoni a Dutch David Moyes Erik 7 Egg


| Jamie Redknapp on Roberto De Zerbi:


“He’s potentially one of the great managers of all time.”

[@SkySportsPL]
 
tuwekane sawa wakuu ⚽️
mara ya mwisho kunyenyua kwapa kwenye EPL ni msimu wa 2012/2013. hivyo mnamiaka 10 sasa punde itakuwa 11.

mara ya mwisho kuchukua UCL ni 2008
miaka 15 mpaka sasa bila UCL.

Utabiri wangu
EPL mtachukua baada ya miaka 40😇
UCL mtachukua baada ya miaka 60😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…