Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Huna bhana hata nafsi yako inakusutu kwa utoto wako
 
Nasema hivi kuanzia jumapili nalitaka hili jukwaa

Nendeni kwa mwamposa labda atawaepusha na kipigo View attachment 2735305
wewe piga porojo zako tu humu ila mwenyewe unajua zimebaki siku 2 tu ujipige ban mwenyewe.
Hio jumapili tukiwafunga Mc Masingeli utapigwa mande na sisi pamoja na mashabiki wenzako wa Arsenyau waliochoka na hiyo mipasho yako ya taarabu.
 
Kwenu kule mbna hamtoi support kwa nabii wenu
mmekataa shetani na kazi zake zote
Kule the Gunner Sasa hivi tunaongea lugha moja

Ukiona tunarumbana kwa hoja, elewa kuwa watu wanataka kilicho Bora zaidi
 
Nawapongezeni sana kwa kusajili goli kipa. Nadhani mmefata ushauri wangu niliwaambia Onana sio kipa wa kuja nae Anfield maana ni pazia. At least huyu mliosajili anajitahidi.
 
Nawapongezeni sana kwa kusajili goli kipa. Nadhani mmefata ushauri wangu niliwaambia Onana sio kipa wa kuja nae Anfield maana ni pazia. At least huyu mliosajili anajitahidi.
Huyo ni backup GK namba 1 atabaki Onana punguza ujuaji kumbe ni ushamba tu
 
Inaonekana mpira unaangalia kwenye comment za jf..

Chidi kawapiga goli 3 game mbili za mwisho, kama una akili timamu inatakiwa uogope.
Hakuna mchezaji hapo kasharud default settings

Jumapili anaweza asipate hata on target
 
Mimi Ni Jeshi halafu muhuni ,pastor ,mwisho mchambuzi nguli niliyebobea


Jumapili omba Sana tusishinde


Huna timu ya kuzuia msako pale Emirates
 
7hag anaingia kwenye list ya makocha wa mchongo niliowahi waona

Sajili za kubahatisha

No playing style installed

No proper tactics

Anajifanya ana maamuzi magumu ,kumbe tapeli

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…