Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nyumbu kwa umoja wenu kaeni kwenye meza ya maradhiano na Hamis77, Kama kunatofauti zozote mzimalize

Mtu mmoja kasimamisha jukwaa zima, na bado anapiga spana kisawasawa.

Watu hawana muda nae bwana mdg anapiga makelele ya kishamba
Jukwaa lao Arsenane lipo lkn muda wote yupo humu. Yote mi mapenzi yake ya moyoni juu ya Devil’s jpo usoni anakaza ndita
 
Bado sijaona beki ya kuizuia Galatasaray

Itoshe kusema manjesta safari yenu imeisha hapa
 
Nyumbu kwa umoja wenu kaeni kwenye meza ya maradhiano na Hamis77, Kama kunatofauti zozote mzimalize

Mtu mmoja kasimamisha jukwaa zima, na bado anapiga spana kisawasawa.
Hawa nyumbu Wana timu bovu Sana ,tulipo draw na Fulham walikuja kwa kas kwenye jukwaa letu nikawa nawachora tu

Una timu bovu halafu unashinda kwa kubahatisha then unakuja kuleta fujo jukwaa la Arsenal ya maziwa na asali ,nilikasirika Sana


Sasa waombe Sana Jumapili tusishinde,lasivyo nitaweka kambi hapa 24hrs kwa wiki 2
 
Nyie Kima mlioshindwa kumfunga Fulham nyumbani kwenu tena wakiwa pungufu ndio muweze kumfunga Sevilla?
Hilo Group B anaepita hapo ni Sevilla na Psv nyie mnarudi zenu kwenye futuhi
Unaongea ila ukweli unaujua
 
Amelifanya Kama jukwaa lake, hoja zake mmeshindwa kuzipangua
Hamis77 muelewa Sana, mkae nchini myamalize. Hili jukwaa mtalikimbia wote humu
Waombe Sana waende kwa mwamposa tusishinde jumapili

Nataka niliteke hili jukwaa kwa wiki 2 ,24hrs had international break iishe

Walinikera Sana kuja jukwaan Kwetu kutupigia kelele wakati Wana timu mbovu Sana hata kupiga pass 10 haiwezi


Ni dharau Sana
 
Kaka Have mercy on nyumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…