Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wanangu wa manyumbu fc wiki ijayo mnakuja emirates.

Nawakumbusha tu msijifariji na ushindi huu wa papatu mkajisahau.

Arteta amechukia kakosa point 3 jana asira zake Atawamalizia nyie na kipa wenu huyo shati.
 
SI ukashabikie hizo tim unakatazwa nini


Hizo timu zote unazosifia msimu umeisha hazijafika kokote hata kikombe kimoja.


Najua yanayoendelea kwenye club yangu Manchester ila sitaweza kufikia huu upuuzi wako.
 
SI ukashabikie hizo tim unakatazwa nini


Hizo timu zote unazosifia msimu umeisha hazijafika kokote hata kikombe kimoja.


Najua yanayoendelea kwenye club yangu Manchester ila sitaweza kufikia huu upuuzi wako.
Sawa mzee
 
Ukweli ni kwamba man u mnabebwa sana marefa yaani mechi zenu kuna kakituko lazima katokee alafu refa anaweka maamuzi ya hovyo kabisa
 
Baada ya kuangalia mechi ya liverpool dhidi ya newcastle united, nimejifunza timu yetu haifanyi mazoezi ndio maana tunarejea makosa yanayofanana kila mechi.
Kuna kitu hakipo sawa klabuni kwetu kila msimu matatizo yaleyale.

Turejee maneno ya Ronaldo,wale wazee pale juu wasipotoka hakuna kitachobadilika hata waje makocha 6 tofauti wataondoka vichwa chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…