Manchester United (Red Devils) | Special Thread

YANI pellistri amuweke nje antony??
 
Well. Umeelezea vizuri.
Ubaya Ten Hag anatakaga watu ambao mara nyingi amewahi fanya nao kazi.
Mfano huyu Rumoured GK anaetakiwa (Bundyr) kuja kua competition wa Onana for €5-7m aliwahi kua target wa Ajax wakati Ten Hag yupo kule.
 
Hivi kwanini mnapenda kutunga maneno yenu? Hapo wapi nimem-criticise Onana? Hapo nimeuliza kwanini timu yetu haina quality players kila position maana yake Onana ni mmoja wa quality players kwenye kikosi chetu.

Tumemuacha De Gea bure, tunauza makipa wote ili tutumie £15m kuleta kipa mypa (MBOVU).

Haya ni matumizi mabaya ya funds, scouts wangekuwa serious tungetumia hiyo pesa kupata mchezaji kinda wa maana.
 
Ungeniambia kwamba makosa yamefanyika kumuuza Matej Kovàr ningekuelewa ila kusema kwamba kipa wetu mbovu hapana.
 
Mshahara wa De Gea wa mwaka mzima ulikuwa ni zaidi ya thamani ya huyo kipa hebu fanya hisabati

Halafu wamemchukua kwa €7m ambayo ilikuwa inakaribia mara 3 ya mshahara wa DDG.
 
Well. Umeelezea vizuri.
Ubaya Ten Hag anatakaga watu ambao mara nyingi amewahi fanya nao kazi.
Mfano huyu Rumoured GK anaetakiwa (Bundyr) kuja kua competition wa Onana for €5-7m aliwahi kua target wa Ajax wakati Ten Hag yupo kule.
Niliisoma hiyo habari mchana wa leo nikabaki nashangaa.

Hatujui amebakisha wachezaji wangapi anaowahitaji ambao aluwahi kufanya kazi nao.

Nimemkumbuka jose mourinho nyakati zile anahamia chelsea, alikuja pamoja na carvalho na perreira
 
Man utd haina shinda kwny funds acha wachezee maana glazers wanachota parefu
Man utd inaweza kumaccomodate hata mbappe ila una uza players gani u balance vitabu
 
Ungeniambia kwamba makosa yamefanyika kumuuza Matej Kovàr ningekuelewa ila kusema kwamba kipa wetu mbovu hapana.
Kingine ambacho anapaswa kufahamu Kovar anataka kuwa regular starter na sio backup GK na hiyo ndio imefanya pia Suzuki aamue kwenda Ubelgiji katika timu atayoanza first 11 anaona katika umri wa miaka 20 hapaswi kukaa benchi itaua potential yake.
So hata timu ingetaka kumbakisha asingekubali that's why hata msimu uliopita alitumia wakati wake mzuri Sparta Praha.

Kipa yoyote mdogo mwenye ndoto anataka kuonesha alichonacho that's why wametaka kwenda watapopata dakika na mechi nyingi.
 
Niliisoma hiyo habari mchana wa leo nikabaki nashangaa.

Hatujui amebakisha wachezaji wangapi anaowahitaji ambao aluwahi kufanya kazi nao.

Nimemkumbuka jose mourinho nyakati zile anahamia chelsea, alikuja pamoja na carvalho na perreira
Same to Smalling, Abraham na Matic Roma. Sometimes ni kawaida ila kwetu kama imezidi hivi
 
Goal la kizembe hili.
Your browser is not able to display this video.
 
Hii ina maana scouting yetu haifanyi kazi yao ipasavyo.

Kwenye eneo la academy tupo vizuri sana kwenye recruitments kwa miaka ya karibuni.

Ila huku juu ukiangalia hizi target zetu haziridhishi hata kidogo
Kabisa halafu inashangaza tunapigwa gap la chapu chapu hata hatuelewi. Check kwa Disasi na Kim Min Jae... Hata Gakpo. Yani hatupo proactive kabisa.

Kwa mwenendo huu sitashangaa hata Amrabat tukimkosa.
 
Hii ina maana scouting yetu haifanyi kazi yao ipasavyo.

Kwenye eneo la academy tupo vizuri sana kwenye recruitments kwa miaka ya karibuni.

Ila huku juu ukiangalia hizi target zetu haziridhishi hata kidogo
Kosa lake hajaomba kuletewa Technical director mwenye brain ya soka.

Sijajua kama Ralf alifukuzwa au lah ila ni kati ya watu aliotakiwa kuwashikilia sawasawa.

Kama tukiingia chini ya Mmiliki mpya yule mtu aletwe pale juu atamboost sana kocha kwenye kuchagua wachezaji sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…