Well. Umeelezea vizuri.Halikuwa kosa hata kidogo kumuacha, kosa lipo kwenye gharama tulizotumia kuziba nafasi yake.
Ni sawa soko la usajili limebadilika ila brighton wamepata kipa kwa paundi millioni 20.
Kipa ambaye hata sisi tulimgombania na ndiye kipa wao namba 1.
Hatuchezi possession based kama barcelona au man city hivyo golikipa anayemzidi de gea kwa footwork kidogo tu angelitufaa.
Onana ni kipa mzuri tuliyekuwa hatuna ulazima nae kwa mujibu wa hizi mechi 3 nilivyoziangalia.
Style yetu ya kiuchezaji ndio ile ile
Hivi kwanini mnapenda kutunga maneno yenu? Hapo wapi nimem-criticise Onana? Hapo nimeuliza kwanini timu yetu haina quality players kila position maana yake Onana ni mmoja wa quality players kwenye kikosi chetu.Hujaangalia game unamcritize Onana. Una ugomvi nae binafsi? Hujaona Crucial save aliyofanya dk ya 87?huyo De Gea ambaye ni Quality Player Bayern wamemkataa, Madrid wameona bora Kepa..... Hana namba timu ya taifa na ni siku 4 tu zimebaki dirisha lifungwe.
Ungeniambia kwamba makosa yamefanyika kumuuza Matej Kovàr ningekuelewa ila kusema kwamba kipa wetu mbovu hapana.Hivi kwanini mnapenda kutunga maneno yenu? Hapo wapi nimem-criticise Onana? Hapo nimeuliza kwanini timu yetu haina quality players kila position maana yake Onana ni mmoja wa quality players kwenye kikosi chetu.
Tumemuacha De Gea bure, tunauza makipa wote ili tutumie £15m kuleta kipa mypa (MBOVU).
Haya ni matumizi mabaya ya funds, scouts wangekuwa serious tungetumia hiyo pesa kupata mchezaji kinda wa maana.
Mshahara wa De Gea wa mwaka mzima ulikuwa ni zaidi ya thamani ya huyo kipa hebu fanya hisabatiHivi kwanini mnapenda kutunga maneno yenu? Hapo wapi nimem-criticise Onana? Hapo nimeuliza kwanini timu yetu haina quality players kila position maana yake Onana ni mmoja wa quality players kwenye kikosi chetu.
Tumemuacha De Gea bure, tunauza makipa wote ili tutumie £15m kuleta kipa mypa (MBOVU).
Haya ni matumizi mabaya ya funds, scouts wangekuwa serious tungetumia hiyo pesa kupata mchezaji kinda wa maana.
Niliisoma hiyo habari mchana wa leo nikabaki nashangaa.Well. Umeelezea vizuri.
Ubaya Ten Hag anatakaga watu ambao mara nyingi amewahi fanya nao kazi.
Mfano huyu Rumoured GK anaetakiwa (Bundyr) kuja kua competition wa Onana for €5-7m aliwahi kua target wa Ajax wakati Ten Hag yupo kule.
Hivi kwanini mnapenda kutunga maneno yenu? Hapo wapi nimem-criticise Onana? Hapo nimeuliza kwanini timu yetu haina quality players kila position maana yake Onana ni mmoja wa quality players kwenye kikosi chetu.
Tumemuacha De Gea bure, tunauza makipa wote ili tutumie £15m kuleta kipa mypa (MBOVU).
Haya ni matumizi mabaya ya funds, scouts wangekuwa serious tungetumia hiyo pesa kupata mchezaji kinda wa maana.
Kingine ambacho anapaswa kufahamu Kovar anataka kuwa regular starter na sio backup GK na hiyo ndio imefanya pia Suzuki aamue kwenda Ubelgiji katika timu atayoanza first 11 anaona katika umri wa miaka 20 hapaswi kukaa benchi itaua potential yake.Ungeniambia kwamba makosa yamefanyika kumuuza Matej Kovàr ningekuelewa ila kusema kwamba kipa wetu mbovu hapana.
Same to Smalling, Abraham na Matic Roma. Sometimes ni kawaida ila kwetu kama imezidi hiviNiliisoma hiyo habari mchana wa leo nikabaki nashangaa.
Hatujui amebakisha wachezaji wangapi anaowahitaji ambao aluwahi kufanya kazi nao.
Nimemkumbuka jose mourinho nyakati zile anahamia chelsea, alikuja pamoja na carvalho na perreira
Hii ina maana scouting yetu haifanyi kazi yao ipasavyo.Same to Smalling, Abraham na Matic Roma. Sometimes ni kawaida ila kwetu kama imezidi hivi
Mimi hata akileta wote sina hiyana hasa kama aliwahi kumtaka hapo nyuma akamkosa akimtaka sasa fresh tu.Same to Smalling, Abraham na Matic Roma. Sometimes ni kawaida ila kwetu kama imezidi hivi
Kabisa halafu inashangaza tunapigwa gap la chapu chapu hata hatuelewi. Check kwa Disasi na Kim Min Jae... Hata Gakpo. Yani hatupo proactive kabisa.Hii ina maana scouting yetu haifanyi kazi yao ipasavyo.
Kwenye eneo la academy tupo vizuri sana kwenye recruitments kwa miaka ya karibuni.
Ila huku juu ukiangalia hizi target zetu haziridhishi hata kidogo
Kosa lake hajaomba kuletewa Technical director mwenye brain ya soka.Hii ina maana scouting yetu haifanyi kazi yao ipasavyo.
Kwenye eneo la academy tupo vizuri sana kwenye recruitments kwa miaka ya karibuni.
Ila huku juu ukiangalia hizi target zetu haziridhishi hata kidogo
Alitaka kufanya kazi mwenyewe ndivyo nilivyomuelewa interview yake ya kwanzaKosa lake hajaomba kuletewa Technical director mwenye brain ya soka.
Sijajua kama Ralf alifukuzwa au lah ila ni kati ya watu aliotakiwa kuwashikilia sawasawa.
Kama tukiingia chini ya Mmiliki mpya yule mtu aletwe pale juu atamboost sana kocha kwenye kuchagua wachezaji sahihi