Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Forest mpka sasa kapiga pasi 15 tu lakini anaongoza kwa goli 2 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilifanya maamuzi sahihi kujipa likizo ya muda. Siangalii upuuzi mimi, LiveScore inatosha kujia kinachoendelea huko.

Piga mbwa hao na kocha wao fala. Huwezi kuchezesha wapuuzi kama Antony kila siku utegemee mabadiliko.
Zima hiyo TV bwanaaa
 
JASUSI la Uholanzi kwenye majukumu yake kama kawaida [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…