Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sawa mkuu, kizuri ni kuwa striker tumesajili na soon atacheza, basi tutakutana hapa hapa na hizi data.
 
Mimi sichambui mpira kwa kufuata mkumbo mkuu, natoa facts, tatizo letu sio kiungo mkabaji wala kiungo mshambuliaji wala sio beki japo tunapaswa kuongeza kiungo mmoja wa kumsaidia Casemiro
Ndani ya hizi mechi mbili tumcreate big chances 6 tumefunga moja tena ni beki ndio kafunga sawa na 16.66%, Brighton wamecreate tisa wamescore 8 sawa na 88.88%, Newcastle wamecreate 8 wametumia 5 swa na 62.5%
UTD ni Game Two ila ni namna gani ime-ruin Childhood happiness ya wengi unaangalia tu mana still wengi bado hawana hiyo furaha wanayoitaka kwa timu zao wamebaki furahia matatizo ya UTD na kujifariji nayo.

Kuna kundi kubwa limemgeukia ETH huku wakidai hana Talent ID, unawauliza kirahisi tu Arteta ana takribani wachezaji 25 alosajili na Still ana Cup 1 tu {Ngao ya jamii ni Bonanza} kuna kina Mari, Jorginho, Lokonga, Tavares, et al hazijawork out {kwa mujibu wao tuseme naye Arteta hana Talent ID??} sasa ukiuliza maswali ya Kisoka mnachojivunia hasa ni kipi hawana cha kusema zaidi ya Mpira Mzuri kwa Mujibu wao na hawana kombe la Kuonyesha, {LAST SEASON ETH AMEKUWA NA SEASON BORA KUMZIDI ARTETA- Ukibisha uje na FACTS}

Gwiji christeve88 umemaliza kila kitu! Kuna wakati Fulani Ralf Rangnick alisema UTD inahitaji sajili zaidi ya 10 wakamdhihaki ila sisi tunaoangalia soka bila mahaba tulielewa anachomaanisha. ETH kajitahidi sana kufanya kazi na aina ya Players alokuta na sajili kadhaa Starter 3 Back-Up 1, Ninadiriki kusema kama ETH akifikisha sajili zaidi ya 20 kama Arteta UTD itakua na kila taji!
UTD inahitaji stiker sio tu kuanzia season hii but tangu anaondoka Fergie na alirithisha usajili wa Wazee Robin alifanya kazi but hakuwa mtu wa kumtegemea muda mrefu tumekuwa na utaratibu hovyo sana toka juu kuhusu CF mostly tumekuwa tukisajili watu maji kupwa {Falcao, Ibra, Lukaku, Ighalo, Cavani, CR7}

kubwa lipo kwenye namba umeziweka hapo christeve88 UTD ina winga bado wa kawaida, Rashy ndo kabisa uwezo wake ni wa kuwa Spurs, Newcastle na timu za kati hapo hana uwezo huo waingereza wanatuaminisha, Timu kama UTD Forward Player yeyote unatakiwa uwe Comfortable na Mpira, ila yule Mkali unaeza shangaa ana Mipira mingi alopoteza kuliko Shots za maana au hata Goals/Assists.

Worst Scenario katika Matengenezo yetu bora ya Academy kwa Forward ni Mason Greenwood {Hajui chezea nafasi uwanjani, ila Nje ya Uwanja akachezea pakubwa sana} sadly siasa imetamaradi kwenye suala lake na ndo Mkono wa kwaheri kwake. All the Bests Mason Greenwood.
 
Hawa wapumbavu huwa wapo kutukosoa Afrika tu ila wao wanafanya upuuzi mwingi. Utawala wa sheria kwa malkia ni msamiati. Mahakama imesema hana hatia lakini klabu imemhukumu kutokana na hisia na maoni ya watu baki kwa kosa ambalo hana. Ngoja klabu ishuke daraja tukose wote.
 
Siku imemalizika vibaya kwangu hii hizi habari za Greenwood kuachwa zimenimaliza nguvu kabisa.

Nilikuwa nina matarajio kwake akija kutulia but feminists ndio wamekuwa na nguvu kuliko klabu yetu ya kisenge,Wanawake ni vikwazo kwa vitu vingi Duniani.

Tumepoteza kipaji kikubwa huku tunabaki na mcheza sebene Antony



Kila la kheri kwa klabu itayothamini kipaji cha Greenwood na haitajutia kumchukua na majuto yatarudi kwetu baadae.
 
Washenzi sana wanachojua kupigia kampeni ushoga na usagaji

Sidhani kama ingekuwa klabu nyingine ingemuacha kizembe,Benzema alikuwaga na kesi nzito zaidi ya hii ila Real Madrid licha ya image yao kubwa hawakumtupa.

***** sana Man United
 
Mahakama ili drop charges. Haikusema kuwa ana hatia au hana. Charges zilikuwa Dropped sababu yule mtoa key evidence alijitoa.
 
Kweli vizuri havidumu.
Greenwood,zao letu bora kabisa tunalipoteza kwa kuhofia watu wanaolitizama kwa mlengo wa hovyohovyo. Management ya Man U haioni matatizo ya club katika safu ya ushambuliaji,haioni kama MG ni msaada mkubwa kuisaidia timu wakati huu?
Waingereza ni UMBWA!!
 
Walichofanya Manchester United na Waingereza wote kwa Greenwood inaweza kuwa sahihi au siyo sahihi maana hii kesi sijaielewa kabisa.

Wazungu wana mambo mengi ya kishetani wanayaruhusu kwenye jamii yao kushinda alichofanya Greenwood.

England wanaruhusu mapenzi ya jinsia moja, utoaji mimba ila hilo siyo shida kwao.

Greenwood kesi kubwa iliyokuwa inamkabili ni ubakaji ila mimi huo siuiti ubakaji, kama watu walishakuwa pamoja, wanajuana vizuri utasemaje mtu kabakwa?

Feminists wameamua tu kumpoteza kijana. Bado ukirudi kwenye kesi ya Mendy alikuwa falsely accused na wanawake waliomshutumu hawajafanyiwa kitu chochote kile ila hutasikia mtu akitetea Mendy kupata haki yake.

Kesi ya Mendy kwasababu ni wanawake waliofanya makosa watu wakakaa kimya. Ila Greenwood kwasababu yeye ndiyo wanaona ana makosa ndiyo wamepita naye.
 
Washenzi sana wanachojua kupigia kampeni ushoga na usagaji

Sidhani kama ingekuwa klabu nyingine ingemuacha kizembe,Benzema alikuwaga na kesi nzito zaidi ya hii ila Real Madrid licha ya image yao kubwa hawakumtupa.

***** sana Man United
Suala la Greenwood bodi ya Utd wamelikuza makusudi.
Huyu dogo natamani achukuliwe na timu kubwa inayojielewa halafu kila tukikutana awe anatugonga goli za kutosha

Hawa umbwa ni ubaguzi tu wa rangi ndio unawasumbua, ni mara 100 wangemtoa kwa mkopo kisha wakamuuza kuliko hivi walivyomfanyia.
 
Bado ana mkataba. Anaweza kutolewa kwa mkopo kila msimu mpaka mkataba wake uishe.

Ili auzwe lazima arudi kwenye ubora wake kwanza.
 
Halafu sijui ataishi vipi na yule demu wake maana ni responsible kwa kuharibu career ya kijana.

Kama mimi nisingekuwa comfortable nae tena.

Sema hii Dunia unatakiwa kuwa makini sana na hawa viumbe wa kike.


Klabu yetu pia bado inaendeshwa kijinga sana bila kuuzwa tutakereka zaidi mbeleni huko
 
Ukisoma statement ya Richard Arnold utagundua Greenwood hajatendewa haki na timu imesikiliza kelele za feminists kufanya maamuzi.

"While we were unable to access certain evidence for reasons we respect, the evidence we did collate led us to conclude that Mason did not commit the acts he was charged with.

Although we have decided that Mason will seek to rebuild his career away from Manchester United, that does not signal the end of this matter. The club will continue to offer its support both to the alleged victim and Mason to help them rebuild and move forward positively with their lives."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…