Ile mikimbio ya Mauntiiiii...Positive things katika mechi ya jana:-
i) Chezaji la ballon d'or limerudi, na lipo fit kabisa kwa msimu huu. Si mwingine ni MartiaL
ii) Rashidi is on fyaaaayaaaaa, tumpe mida akkk-lick kwenye mfumo.
iii) Antony dos Santos ananikumbusha Aren Robben wa Bayern kabisa yani
iv) Best DM duniani, Casemiiiiiirrrrrooooo
v).... ongezea
Timu iliyumba sababu kubwa ni key players kuuzwa (De Ligt,De Jong ,De Beek,Ziyech) waliuzwa baada ya yale mafanikio na DOF Overmars kujiuzulu baada ya scandal ya kwanyanyasa wafanyakazi wa kike
Frank De Boer alichukua ubingwa wa Holland misimu 4 mfululizo lakini alishinda game 1 tu EPL
View attachment 2722620
Onana ameonekana kwenye maandamano nchini kenya
we jamaa unafwala sana ujueeee.
Kwa makusudi kabisa naona umeamua kuwachekesha wafiwa katikati ya mazishi.
Haya unayosema Mimi nimeyasema miezi karibu minne iliyopitaTajiri ndio anaewafundisha wachezaji kuruka ruka uwanjani!?
Nenda kaziangalie BRIGHTON Newcastle Brentford na Tottenham zilinganishe na MANCHESTER ni nani katumia hela kwenye usajili!?
Ni nani ana kikosi cha bei mbaya!?
Ni nani alieoza UWANJANI kati yetu sisi wenye mwalimu ten HAG na wao .
Ipi timu isiyokuwa na maajabu yoyote UWANJANI.
Kisha utasema TATIZO ni matajiri hapo!?
Wacheni kuishi kwa kukariri matajiri hawachezi MPIRA.
Ten hag kwanza hata jicho la usajili hana ni anabahatisha mnooo.
Kuoandisha viwango wachezaji pia hawezi.
Tunamlaumu sancho kila siku kumbe sancho ni kakosa mwalimu tu.
Maguire nae kakosa mwalimu tu.
Kwa ten hag ikiwa ronaldo kafeli nani mwengine atakaefaulu!?
Matic pogba mata wote kawatoa na sasa kamtoa FRED.
Kisha nenda katazame aliowaleta na tazama kazi zao wanazozifanya uwanjani kisha linganisha na wachezaji aliowatoa ni sawa!?
Kauza ZIDANE IQBAL kwa bei ya mkaa na juzi kamtoa kipa bora kabisa matej kovar.
Na sasa anataka kipa mwengine na KIUNGO je pana kocha hapo!?
Msimu uliopita UNITED imebebwa na dua tu sasa sijui msimu huu kama mungu ataziskia pia dua zetu au atawaskia Chelsea
Kocha yoyote anayemtegemea Rashford lazima aanguke vibaya sio kwa Erik tuHaya unayosema Mimi nimeyasema miezi karibu minne iliyopita
Ten hag last season alibebwa na form ya Rashford na juhudi za Degea
Kama Rashford hatarejea kiwango chake Cha mwaka Jana Basi mtaiona sura halisi ya Ten hag
Hata kutoa pass wanatakiwa kufundishwa na mwalimu ?Hatuko tayari na mjadala kuhusu kocha wetu ila sielewii kama Huwa wanafanya mazoezi au wanaendaga kunywa kahawa Carrington.
Kulalamika kwake kushawahi kufuta goli tulilofungwa pia kushawahi kutupa goli letu lililokataliwa,ishu ni timing.Mi nakuuliza tu, captain wako huwa analalamika nini hasa? Kila wakati akionyeshwa huwa ni kulalamika tu.
Washangae hapo hata Potter ile mipasi yake alivyoenda Chelsea hatukuiona,sometimes wachezaji huwa ni wangese halafu watu waache kuchukulia ukocha kama kunawa na kula ugaliHata kutoa pass wanatakiwa kufundishwa na mwalimu ?
Pass zinafundishwa ndio labda Kama hujui HiloHata kutoa pass wanatakiwa kufundishwa na mwalimu ?
Pamoja na kwamba manjesta imefungwa ila wakikutana na ninyi akina mwacity aise lazima mkojolewe tu 😂😂Cheki huyu kiazi ...
Huyu jamaa anasubiri aanze kutukanwa matusi ya kibaguzi tena aanze kutafuta huruma kwa mashabiki round hii sijui atasema ana jeraha gani!Hivi tuna uhakika aliyecheza jana na Spurs ni Man Utd na sio Kitayose Fc?
Shabiki wa kweli wa Man Utd unatakiwa ubishane mpk mwisho kua jana Utd haikua uwanjani, tunachojua sisi timu yetu inacheza tarehe 26Aug dhidi ya Nottingham Forest.
Poor Rashidi. View attachment 2722782