Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pamoja na yote ila Rashidi tokea msimu uanze anacheza kifaza sana.
Haya mambo ya attemps 35, touch in opp box 85 halafu goli 0 tuwaachie Arsenal huu unaofanyika sio utamaduni wetu.
Nyie utamaduni wenu upi ikiwa spurz anawakimbiza muda wote
 

Pellistri Hapana mda wake dakika za 85 uko bora uyo uyo antony
 
Long tym sana sijapita hapa. Ila naomba muendelee kupokea vipigo mpaka mtakapokuwa sugu kama ngiri maji. Hampaswi kuonewa huruma.

Mpigwe tu.
 
Alafu utakuta kuna mtu anashangilia Greenwood asirudi utafikiri ali bakwa yeye

Yani hapa kinachotokea ni adhabu dhidi ya missed chances zetu zote tokea first half

Slowly naanza kuelewa kwanini baadhi ya watu wana miliki bastora maana sio kwa uozo huu hapo mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…