[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] shida yako masingeli wewe hutaki kushindana na watu wenye hoja, mtu akija na maevidence pamoja na mavivid example ya kutosha unaanza kua mkali, unawapenda wale wapiga porojo tu na wale bendera hufata upepo kama kina Flano ambao kazi yao ni kukusapoti tu hata ukikosea.Mamluki kule si ndio rafiki zako , wanasema wamehama timu lakin Arsenal ikishinda wanalalamika ikifungwa wanalalamika,na mshehereshaji ni wewe
Hapa mkuu nakuunga mkono na miguu yote kabisa.Jana man u imeshinda ila mashabiki wake hawana furaha na hili tatizo nililiona juzi kwenye matokeo ya game ya arsenal na norttingam forest.
Ushauri.
Kwanza mashabiki tuache kwenda uwanjani na matokeo yetu na pia tuache kwenda uwanjani na performance zetu tunazozitarajia.
Tukiweka ushabiki pembeni kwa epl tofauti kati ya timu zinazoitwa big 6 na zinazoitwa midtable timu ni SPENDING na LUXURIES.
Tukija kwa upande wa soka lenyewe on pitch the difference is narrow than you can imagine. Big 6 team wanajua kuspend big money ili kupata quality wakati hizo tunazoziita midtable team zinajua kufanya proper scouting ya kupata talents kwa affordable price.Ukija uwanjani unakutana na mchezaji wa bei ya kawaida wakati ana quality ya juu mnoo.
Nawatahadharisha yeyote anayejiita giant ajiandae kisaikolojia anapokutana na hawa wapuuzi.britton and holves,aston villa,west ham na brentford.Newcastle analazimisha ije big 7[emoji23][emoji23].
Hoja yangu ni kwamba matokeo ndiyo kitu cha msingi baada ya dakika 90.haijalishi umeyapata kwa njia gani ila ukiyapata shukuru maana ni hardly found.
Kuna swalla la makocha hapa.EPL kuna kocha mmoja tu ambaye ana dunia yake and that is PEP.mjinga anakera. Ana hela,anajua kusajili,ana matajiri wenye hela na mwisho ni tactical genius.atasumbua mno labda ahame. Kwa makocha waliobaki uwezo wao hauna tofauti ya mbingu na ardhi so its normal ukipigwa na bunley.unaweza muona kocha wako ni bora kumbe resources ndo zinamfanya awe bora.
Wakuu furahieni ushindi bila kushughulishwa sana na mazingira ya ushindi maana kuna muda hata huo ushindi hutauona.
Utofauti ni kipa tu,Hivi hiki kikosi chetu na cha mwaka jana vina tofauti gan ?
Our FB nao hawapo tayari kwenda mbele zaidi ya uwezo wao (bidii).Weka 6 yoyote duniani kwa mfumo wa Jana angechemka, i hope hii ni wake up call kwa ETH no 8.5 wawili inaweza kutucost tukikutana na Timu inayojielewa 7 zinaweza rudi tena. Hawa Wolves ndio wanatabiriwa kushuka daraja ila Cunha alikua anapita tu katikati, kweupe kabisa.
Wakikusikia top reds una mdisi 7Hag utafukuzwa humu jukwaaniTulikua na midfielders ambao hawawezi kutunza mpira in Bruno na Case, Bado kocha kaenda kuongeza Mount tena ambae hawezi kama wenzie.
Sijui Ten hag anatengeneza nini, ngoja tuone.
We jamaa kwann umemuita baba ubaya lakini? [emoji23] [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Baba ubaya alivyohojiwa jana na waandishi wa habari juu ya kiwango cha Mount.
Ten Hag kuhusu Mason Mount
"Amecheza vizuri. Alifanya kile tulichotarajia akifanye. Alikuwa na kiwango kizuri sana kwenye mchezo."
Mtu ambaye hajacheza msimu miwili ataweza kuwa kwenye form ya kupambana ndugu ?Amrabat aje tuu mount sio wa kuanza na Bruno tutakufa nyingi siku moja
Pia greenwood aludishwe otherwise huu msimu tutakutana na kitu kizito
Amrabat hawezi kuwa improve Man United.Ila wazee last season tulianza vibaya zaidi ya hivi na jinsi mechi zilivyoongezeka tuli-improve zaidi.
Kitu kimoja ninachomkubali EtH kwenye nyeusi hasemi nyeupe. Jana tumecheza vibaya sana ila points 3 ni muhimu na tumezipata.
Usajili wa Amrabat ufanyike mapema sana.
Mkuu kwni ukini acknowledge kwa kuwa ni mm ndo nlompa hyo a.k.a kule kwny jukwaa letu utapungukiwa nn😅😅😅😅[emoji16][emoji16][emoji16] hauoni hio ndonga yake jinsi inavyofanana na ndonga ya baba Ubaya.
Rashford ni takataka4-2-3-1
Onana
Pavard
Varane
Martinez
Amrabat
Casemiro
Antony
Sancho
Bruno
Marcus
Tunapambana na timu yeyote
Basi mwaka wa 11 tena bila EPL inakuwaUtofauti ni kipa tu,
Ndivyo macho yangu yanavyoniambia
Bila Wan Bissaka hii timu imekufa.4-2-3-1
Onana
Pavard
Varane
Martinez
Amrabat
Casemiro
Antony
Sancho
Bruno
Marcus
Tunapambana na timu yeyote
[emoji16][emoji16][emoji16] arsenal2004 achana na kocha letu la boli, kocha kisheti, kocha linalojua kunyumbulika.Mkuu kwni ukini acknowledge kwa kuwa ni mm ndo nlompa hyo a.k.a kule kwny jukwaa letu utapungukiwa nn[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]