Hakuna namba sita atacheza na Attacking midfielder wawili akaonekana.. angalia baada ya kuingia ericksen kidogo alituliaJana nimeingalia man utd yangu mpaka naona huruma, wachezaji very weak, hamna kujituma, no chemistry cjui uwanja wa mazoezi wanafundishwa nini aisee, fitnes zero, Wolves ilikua timu bora ktk nyanja zote uwanjani,
Yaani endapo tungeanza na man city ile jana zilikua 8 ashukuriwe mwenyenzi Mungu tu
Casamiro ndio nin unatufanyia!
Timu inapoteza mipira ovyo, kutengeneza shambulizi la kieleweka ni shida, yaani tunacheza kama ndondo cup la kina shafidauda
Yule Mount ETH kaona nini kwake???? Maana nikae kimya tu, mim sio muumini wa watoto wa kingereza kabsa, wanakuzwa na media zao tu
Msimu wa stress kama kawaida yetu
Msimu huu Simba Sc ndio imebeba furaha yangu, mwenyenzi Mungu ibariki Simba lunyasi
Hii timu itafiku,isha makocha wengi sanaJana nimeingalia man utd yangu mpaka naona huruma, wachezaji very weak, hamna kujituma, no chemistry cjui uwanja wa mazoezi wanafundishwa nini aisee, fitnes zero, Wolves ilikua timu bora ktk nyanja zote uwanjani,
Yaani endapo tungeanza na man city ile jana zilikua 8 ashukuriwe mwenyenzi Mungu tu
Casamiro ndio nin unatufanyia!
Timu inapoteza mipira ovyo, kutengeneza shambulizi la kieleweka ni shida, yaani tunacheza kama ndondo cup la kina shafidauda
Yule Mount ETH kaona nini kwake???? Maana nikae kimya tu, mim sio muumini wa watoto wa kingereza kabsa, wanakuzwa na media zao tu
Msimu wa stress kama kawaida yetu
Msimu huu Simba Sc ndio imebeba furaha yangu, mwenyenzi Mungu ibariki Simba lunyasi
Hivi Antony hata kuna chance alicreate? Aisee ule upande kwa namna yoyote Greenwood arudi, na ni bahati AWB alianza, wangekutana Dalot na Antony ingekuwa balaaAmrabat aje tuu mount sio wa kuanza na Bruno tutakufa nyingi siku moja
Pia greenwood aludishwe otherwise huu msimu tutakutana na kitu kizito
Di zerbi ni kocha ambaye hata Pep anamuogopa kimbinuNgoja nicheke.
Njooni mbebe takataka yenu kenge nyie.Wazee tuongezeeni hata pesa kidogo kwa MOUNT, acheni ubahili.
[emoji23][emoji23][emoji23] ila akija Man Utd lazima utampondea, Masingeli una maana basi wewe[emoji16][emoji16][emoji16]Msimpate asee,huyo mwamba anajua Sana ,
Ten Hag anawafaa sana...ila kusajili hajuiπ π π[emoji23][emoji23][emoji23] ila akija Man Utd lazima utampondea, Masingeli una maana basi wewe[emoji16][emoji16][emoji16]
Mi nafurahi nikiwaona Arsenyau humu kwenye jukwaa la wanaume, jifunzeni humu namna watu walivyo huru (free-minded) kujadili timu yao.Ten Hag anawafaa sana...ila kusajili hajui[emoji28][emoji28][emoji28]