Hao wote walikuwa kwenye payroll mwaka mmoja uliopita.Mwamba anapukutisha hatari
Huenda dirisha lijalo Van Gaal Legacy atabaki Luke Shaw na Mourinho Legacy atabaki Dalot na Lindelof tu.Hao wote walikuwa kwenye payroll mwaka mmoja uliopita.
Kipara anafanya ukatili wa hali ya juu,
πππ7Hag decided to keep Marcus Rashbeck and Luke Shaw over Cr7 and Alex Telles
View attachment 2715771
Kuna shida gani kama anatupa matokeo? Mbona kamtoa Bailly, Maguire, Tuanzebe alafu kamsajili John Evans au JE ni U18?
Mkuu unaelewa mpira lakini?
Yaani team kubwa kama Man U tutengeneze timu kumzunguka mzee wa miaka 39?
kItuko cha karne hiki.
Comparison isiyoendana.Kuna shida gani kama anatupa matokeo? Mbona kamtoa Bailly, Maguire, Tuanzebe alafu kamsajili John Evans au JE ni U18?
Hana akili huyo ana wazimu akashabikie rede mpira hajuiComparison isiyoendana.
Isiyo endana kivipi mzee umeongelea suala la umri wakati tumemsajili John Evans, au umri una play part kwa Ronaldo tu.Comparison isiyoendana.
Maneno yenu ya kejeli na matusi mnayo nitukana hayani badilishi msimamo kuhusu manchester, at the end of the day najua mtaungana na mimi kuhusu 7Hag na kikosi chake, I've seen it b4, kuna waliokuja kasi kuliko nyieHana akili huyo ana wazimu akashabikie rede mpira hajui
Tunatengeneza team kumzunguka Johny?Isiyo endana kivipi mzee umeongelea suala la umri wakati tumemsajili John Evans, au umri una play part kwa Ronaldo tu.
Sasa suala la kutengeneza timu si inategemeana na akili na malengo ya kocha, 7Hag alilazimishwa kutengeneza timu kumzunguka Ronaldo?Tunatengeneza team kumzunguka Johny?
kwa tabia ya Ronaldo timu isipotengenezwa kumzunguka yeye hapo ndo ugomvi unapoanzia kwa ila 10hag hajui kama unamchukia ungechukulia haya mambo kawaida tu au unapumzika hadi akitoka then unaendelea na kushabikia timu yako pendwaSasa suala la kutengeneza timu si inategemeana na akili na malengo ya kocha, 7Hag alilazimishwa kutengeneza timu kumzunguka Ronaldo?