Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa sababu Man United hana guarantee ya kuwa the best,ila Man Cuty anaweza kuwa mkali na hela ikaenda halali.

Huenda hata Maguire angeendaga Man City kipindi kile angekuwa moto wa kuotea mbali
True,hata Fred mliwapokonya city, Leo Hana thaman
 
Matej kovar kwenda bayer leverkusen, inasemekana leverkusen watalipa euro million 9.

Man utd pia wameweka kipengele cha kumnunua tena.

Nimemuona huyu bwana mdogo mechi yetu dhidi ya leeds na lyon.
Wow, ni kama nilikuwa naangalia mzimu wa courtois ndani ya kiwiliwili chengine.


Biashara nzuri imefanyika
 
Kijana wetu Hojlund hadi sasa hajapewa squad number huku hakuna namba compatible kwa strikers zote zina watu na anaipenda #17 anayoivaa Fred na kuivaa hadi auzwe.

Au haya majeruhi taarifa zake ni kama excuse tu maana kuna vitu vya ajabu vinapatikana klabuni kwetu tu
 
Loyalty ya magwaya ni kubwa Sana kwa nyumbu hii
Timu nzima inekufa lakini lawama alikua anazibeba magwaya

Hary magwaya the living legend
Angekuwepo mzee Wenger sina shaka angemchukua Le captain Maguire, kama tuliwapa Silvester tukawapa na Welbeck why not Maguire?
Kama vipi mchukueni atawasaidia sana kwa zile pancha za Saliba, Le captain amekipiga misimu 4 mfululizo bila kuumwa hata mafua.
 
Mmekosa kabisa wakumtapeli mnataka mtufanyie sisi watoto wa London
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…