Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwaio impact ya Anthony ni pre season,? Mtu yupo tangu msimu uliopita wote ule

Tukiwaita nyumbu mtasema tunawatukana?
Game ya kwanza Antony alipotua EPL alicheza na kina nani?Na goli alilowabandua walikua ni kina nani??

Aisee kesho ifike tu izi kenge haziishagi mdomo mpaka pale Jini litapomtokea Ramsdale mara 3
 
Man United manager Erik ten Hag has demanded the club sign Aurelien Tchouameni from Real Madrid!

(Source: SPORT)
#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |
 
Kwahiyo habari ya AMRABAT ndio inaishia hapo?
 
Game ya kwanza Antony alipotua EPL alicheza na kina nani?Na goli alilowabandua walikua ni kina nani??

Aisee kesho ifike tu izi kenge haziishagi mdomo mpaka pale Jini litapomtokea Ramsdale mara 3
Kufunga mechi ya kwanza haiondoi pale mlitapeliwa Kama mnavyotapeliwa Sasa kwa mount ana Mwaka mmoja na nusu ana goli 1 na assist 1
 
Kwa Onana huyu subirieni vilio tu
 
Mount anacheza Kama veterani Mimi namuhesabia kama alishamalizaga mpira kipind Cha Tuchel , alikuwa anajituma kwa lampard ,

Ana mwaka na nusu toka afunge goli , mvivu kukaba ,

Huyo tegemea kuingia top kwenye sajili za kitapeli episode 1
 
Casemiro akiwa na mpira Kama ana siafu miguuni

Ni mzuri akiwa Hana mpira ,thus why hawezi cheza kwa timu possession based
 
Casemiro akiwa na mpira Kama ana siafu miguuni

Ni mzuri akiwa Hana mpira ,thus why hawezi cheza kwa timu possession based
Yaan ww jamaa sumtym nakuona kama wale mashabiki tim,na sio mpira,....

Ukiwa shabiki wa football,sio arsenal pekeake,utaenjoy sana na itakuondolea unafiki.

Hivi kweli kuna shabiki mkweli wa mpira asiyeufahamu ubora wa Casemiro?au sababu anachezea Man u?

Na mara nyingi naona jinsi unavomzungumzia Maguire,kwamba ni beki mzuri sana,unafiki wa kiwango cha juu saaana.......
 
Huyo Mc Masingeli hayo anayoyaongea hayatoki moyoni ni utani wa jadi tu mkuu usimchukulie serious sana.
Anapoamua kuweka utani pembeni hua anaongea vitu realy sana hata huyo Casemiro mara kibao tu hua anamsifia, yeye adui wake wa kudumu ni Antony Masebene huyu hata Siku moja hajawahi kumzungumzia vizuri tokea alipowagonga goli na kuwafanyia hivi
 
Happy 40th Birthday, Robin van Persie!

#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |
 
Nottingham Forest are closing in on the signing of Arsenal keeper Matt Turner.

This could mean that Forest don’t sign Dean Henderson.

[Fabrizio Romano]
#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ

#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨

#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™

#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™

#π™‚π™‚π™ˆπ™

man utd |
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…