Wewe endelea kuimba masingeli yako tu, ila kuna hospitali tayari zimewaazishia wagonjwa wa cancer therapy ya kutazama mechi mbili za Utd kila wiki na matokeo yamekua ni chanya kwa % kubwa sana.A Dutch David Moyes Erik 7 hag
Mount ni moja ya sajili Bora za kitapeli kwasasaHuyu Fremason Mount mbona kama ana uWighorst ndani yake?
Unakosaje sasa kufunga goli uko peke yako tu kipa?
Hivi Chelsea mnatuchukuliaje kwani?
Kwani pesa yenu mshalipwa yote maana dirisha bado liko wazi.
Aiseeee tokea pre-season imeanza huyu Fremason binafsi sijaona impact yoyote toka kwake zaidi ya zile picha zake tu za kupendeza amepiga akiwa anatabasamu ndani ya uzi wa Man Utd.Mount ni moja ya sajili Bora za kitapeli kwasasa
KipaOnana kwanini asiwe anatulia kwenye mstari wake pale timu inapokuwa inashambulia!?
View attachment 2709230
Kama ulivyosema ,bado EPL awe anatoka hivo hivoWameshamtungua Onana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]