Kobbie Mainoo atakuwa nje kwa majeraha mpaka January#mufc could have a very secure midfield next season…
Bruno Fernandes
Sofyan Amrabat
/Kobbie Mainoo
Mason Mount
Casemiro
Christian Eriksen
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐
man utd |View attachment 2707441
Mtu mzima unaweza kuonekana hovyo kwa kuleta habari zisizo na ukweli. Hizo goli nne Onana kafungwa wapi kama sio goli 3 Mechi hamuangalii mnakuja kulipuka tu humu.Andre Onana the policemanstats:
2 games,
4 goals conceded,
0 wins
43 forward passes
3 step overs
4 shoutsView attachment 2706671
A Dutch David MoyesErik ten Hag anataka Manchester United kushindana na Bayern Munich kwa ajili ya kumsajili Aurelien Tchouameni, kwa mujibu wa Sky Sports
Inadaiwa Tchouameni ni mmoja wa wachezaji ambao Real Madrid wako tayari kuwauza ili kufadhili uhamisho wa Kylian Mbappe au mbadala mwingine wa Karim Benzema. View attachment 2708343
Nyumbu hizi sajili zenu mmeamua kuweka mafenesi, matikiti maji, matembele, mapeazi, matango na maindi ya kuchemsha sehemu mmoja.
Nyumbu hizi sajili zenu mmeamua kuweka mafenesi, matikiti maji, matembele, mapeazi, matango na maindi ya kuchemsha sehemu mmoja.
Sio kwa ubaya ila tunawakumbusha, mtatakiwa kuwalipa MONACO takribani £ 7.2 millions endapo ANTHONY MARTIAL akishinda BALLON D'OR.
MSISAHAU. ASANTENI.
David Moyes showed respect to united by not losing 7-0 to mutants, 7Hag did it in his first six months.A Dutch David Moyes
Acha kumwambia ukweli.suicide is realAiseee kweli nyani haoni kundule.
Yale maparachichi, mabilinganya, mastafeli , nyanya chungu, majani ya maboga na makabechi yenu yamewasaidia nini zaidi ya kutaka kuwashusha daraja?
Clean sheet sio makalio kwamba kila mtu anayoHuyu Onana ana cleansheet ngapi toka ajiunge Manchester?