CA,B or C?
#๐๐ง๐ช๐จ๐ฉ๐๐๐๐๐ง๐ค๐๐๐จ๐จ๐๐๐
#๐๐ฃ๐๐ฉ๐๐๐๐ค๐ง๐ฉ๐๐๐๐๐ฃ๐จ
#๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐จ๐จ๐๐ข๐๐ฃ๐ผ๐ฉ๐๐๐ฃ๐๐ฉ๐
#๐๐ก๐๐ฏ๐๐ง๐๐๐
#๐๐๐๐
man utd |View attachment 2706298
C but RW weka Sancho au AnthonA,B or C?
#๐๐ง๐ช๐จ๐ฉ๐๐๐๐๐ง๐ค๐๐๐จ๐จ๐๐๐
#๐๐ฃ๐๐ฉ๐๐๐๐ค๐ง๐ฉ๐๐๐๐๐ฃ๐จ
#๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐จ๐จ๐๐ข๐๐ฃ๐ผ๐ฉ๐๐๐ฃ๐๐ฉ๐
#๐๐ก๐๐ฏ๐๐ง๐๐๐
#๐๐๐๐
man utd |View attachment 2706298
Mkuu usichanganye Transition na Counter, Counter ni Transition na sio transition zote ni Counter, mfano Madrid ya Mou ilikua inafanya Counter ila kwa winga wenyewe kasi na inaanzia Golini kwao zikipigwa Counter viberenge mpaka Goli la wapinzani.Comparison ya ETH na hawa ipo kwa aina ya Uchezaji, Mwanzo ETH akiwa na AJAX ya Kwanza alikuwa anacheza zaidi Possession Game {Hapa alireplicate Game ya Pep}, na alitegemea zaidi CM's ila Awamu ya Pili baada ya timu kubomoka alitengeneza timu inayofanya Transition zaidi kwa aina ya Players alokuwa nao
Kwa sasa hivi UTD yake inaenda fanana zaidi na Timu ya Klopp kwa aina ya Uchezaji mana Inategemea zaidi Transitions, Hizi zaidi ni zile fast Break baada ya kupata Mpira, CITY wanaeza pata Mpira na kuanza piga sideways Passes kwa sababu wana ubora katika hilo na kufanya Build Up kwenda kushambulia kwa kutumia Nafasi zaidi, UTD na LIVERPOOL inakuwa tofauti Shambulizi zao Mingi zinategemea Mikimbio ya Players wake na Ndo mana Liver wanakuwa hatari zaidi wakiwa wanakuja baada ya kunyang'anya Mpira sawa ya na UTD na ndo inapoelekea View attachment 2706261
Hapo umetaja no 10 na mawinga wengine, Gotze alikua 10, na Marco kama Ulimaanisha Reus alikua attacking midfield anacheza positon zote mbele kulia, kushoto kati kama Sancho tu. pia Nuri sahin hajawahi kuwa Mchezaji laini ana stats kubwa za Tackle na Interception kushinda hata Casemiro na Wan Bissaka.Hapa i Chose to Differ, Klopp akianza julikana na Dortmund alikuwa na CM's Soft sana kama unavyowaita Mana alikuwa na Nuri Sahin na Shinji kagawa, Baadae ikawa ni Goetze na Marco Nyuma ya Robert, {Timu zake huwa na Punda, na Dort alikuwa ni Grobkeutz na Kuba}
Sasa hivi amemchukua Szoboszlai na McAllister ambao ni Type za kina Ericksen, FDJ anacheza timu yeyote na Mfumo wowote na hata ukiangalia kitakwimu ana-Balance Game yake kwenye zones zote za Uwanja, Angalia hapa Chini kati ya hao walosajiliwa na wametoka kwenye timu za High Tempo {RB Liepzig} na {Brighton} dhidi ya FDJ
Ila Still tuna Bruno na Mount hence hatutacheza kama liverpool 100% thats my point, hata tukitumia 4-3-3 kama Liverpool Still creativity yetu inatoka katikati. Antony, Rashford, Bissaka, Malacia wote hawa sio creative players kwamba tucheze kama Klop tuwategemee wao. Msimu uliopita wachezaji watano waliotoa Assist zaidi ni Bruno, Eriksen, Rashford, Casemiro na Fred. Wanne kati ya 5 wanatoka kati, na Sioni msimu huu tukibadilika, sana sana Mtoe Fred mueke Mount, hao watano ndio watakua Source ya Magoli kwetu.View attachment 2706270
Kwa nini nakwambia UTD inaenda fanana zaidi na Klopp, ni kwa sababu hii ulosema, Rashford Last season amekuwa na msimu bora maana amekuwa akitumika shambulia hizo half Space {Nafasi kati ya CB na Fb} LIVERPOOL Ikiwa na Miaka Productives 18/19~19/20~20/21 watu hatari zaidi walikuwa ni Salah na Mane sababu Firmino anajua Drop Chini na kuwa kama Additiona Attacking Midfielder, Season Ilopita wameteseka na Injuries na Mabadiliko ya Timu
Hojlund ni Monster kwenye Transition na Ndo mana ETH alikuwa Target yake ya kujilipua ingawa Awali alikuwa anamtaka Kane mana Harry anajua Drop chini na kufanya kazi kama ya Firmino, So Ufananisho wa ETH na Klopp kwa aina ya Game anacheza na anataka icheza ni Mkubwa Chief!
Nakubali, nafikiri na hii ndio maana kipa kabadilishwa pia.Mkuu usichanganye Transition na Counter, Counter ni Transition na sio transition zote ni Counter, mfano Madrid ya Mou ilikua inafanya Counter ila kwa winga wenyewe kasi na inaanzia Golini kwao zikipigwa Counter viberenge mpaka Goli la wapinzani.
Man city wanafanya Transition na Eth pia atafanya Transition ndio maana anataka watu wanaopress mbele, msimu uliopita City kapiga counter na Transition za kutosha tu, Guardiola wa sasa si yule wa Barca. So hayo mambo ya Sideways pass ni kumbukumbu zako za zamani za Guardiola na sio City Ya Haaland inavyocheza.
Hapo umetaja no 10 na mawinga wengine, Gotze alikua 10, na Marco kama Ulimaanisha Reus alikua attacking midfield anacheza positon zote mbele kulia, kushoto kati kama Sancho tu. pia Nuri sahin hajawahi kuwa Mchezaji laini ana stats kubwa za Tackle na Interception kushinda hata Casemiro na Wan Bissaka.
Sijamuangalia McAlister sana kwa World cup na hizo mechi chache za Brighton jamaa ni Engine ya maana ana cover kila nyasi uwanjani, hii Heatmap yake Epl
View attachment 2706365
Ila Still tuna Bruno na Mount hence hatutacheza kama liverpool 100% thats my point, hata tukitumia 4-3-3 kama Liverpool Still creativity yetu inatoka katikati. Antony, Rashford, Bissaka, Malacia wote hawa sio creative players kwamba tucheze kama Klop tuwategemee wao. Msimu uliopita wachezaji watano waliotoa Assist zaidi ni Bruno, Eriksen, Rashford, Casemiro na Fred. Wanne kati ya 5 wanatoka kati, na Sioni msimu huu tukibadilika, sana sana Mtoe Fred mueke Mount, hao watano ndio watakua Source ya Magoli kwetu.
Ndio mkuu Kipa kama Onana anafanya tucheze Highline na tukabie juu, Mount Anakaba juu, Hojlund anakaba juu, huo ndo mfumo wetu tutakaocheza msimu ujao.Nakubali, nafikiri na hii ndio maana kipa kabadilishwa pia.
Hapa nimekupata Chief! Ila Pia nachokizungumzia ni tunaelekea uelekeo wa Klopp zaidi ya Pep, Timu ya Klopp imechanganya Baada ya Kupata wachezaji wote anataka Mpaka anakuja pata Pacha ya Robbo na TAA tayari ashapitia wengi.tuna Bruno na Mount hence hatutacheza kama liverpool 100% thats my point, hata tukitumia 4-3-3 kama Liverpool Still creativity yetu inatoka katikati. Antony, Rashford, Bissaka, Malacia wote hawa sio creative players kwamba tucheze kama Klop tuwategemee wao
Kuhusu Transition hakuna mahala nimehitimisha kwamba Ni "Counter" Ila kwa kuwa Umegusia ngoja na mimi niisemee, "Transition" Ni Counter Plays zinaotegemea zaidi Speed, na zina Phases 2 ila Zina Zones 3 ambazo zina sub-zones NyingiMkuu usichanganye Transition na Counter, Counter ni Transition na sio transition zote ni Counter, mfano Madrid ya Mou ilikua inafanya Counter ila kwa winga wenyewe kasi na inaanzia Golini kwao zikipigwa Counter viberenge mpaka Goli la wapinzani
Mkuu wewe unatumia uzoefu wako wa Pep na sio Man City ya karibuni, Pep siku hizi anao anao kampunguza sana na msimu uliopita Man City walifungana na Liverpool kwenye Magoli ya Counter Nyuma ya UTD.Hapa nimekupata Chief! Ila Pia nachokizungumzia ni tunaelekea uelekeo wa Klopp zaidi ya Pep, Timu ya Klopp imechanganya Baada ya Kupata wachezaji wote anataka Mpaka anakuja pata Pacha ya Robbo na TAA tayari ashapitia wengi.
Kuhusu Transition hakuna mahala nimehitimisha kwamba Ni "Counter" Ila kwa kuwa Umegusia ngoja na mimi niisemee, "Transition" Ni Counter Plays zinaotegemea zaidi Speed, na zina Phases 2 ila Zina Zones 3 ambazo zina sub-zones Nyingi
Alichokuwa anafanya Mou kwa Reference yako Ni Transition kwenye Format ya Attacking Play ambayo ndo hii unayoikataa kama "Counter" ila Tafsiri rahisi ni Shambulizi la haraka baada ya kupoka mpira,
Transition nyingine ni "Defensive" Hii kila mmoja ana namna yake ya kufanya Set-Ups ila kirahisi sana ndo Wengi huizungumzia kama "Counter Pressing" mana ni Tukio la haraka baada ya kufeli tukio jingine (hapa wamepoteza Mpira so kuurudisha kwenye Himaya ndo kinachofanyika kuanza Press kwa haraka kujilinda na kutaka pata Mpira kushambulia haraka vile vile)
Umesema Pep anafanya Transition Play Nyingi!!! Mtizame Upya na uangalie aina ya Magoli yanfungwa na City Mengi ni Tap-Ins baada ya Domination {Possession Game}, Tofauti na Salah na Rashford wana Magoli mengi ya Mikimbio. Mwangalie Rodri sideways na square passes zile Simple pass anazo Nyingi ku-control Games
Leon Goretzka as an advanced 8 itakuwa perfect fit kwa Ten HagLeon Goretzka is still on #mufc's list. The last ten days have clearly shown that he wonโt be a starter under Thomas Tuchel at Bayern Munich.
[Florian Plettenberg]
#๐๐ง๐ช๐จ๐ฉ๐๐๐๐๐ง๐ค๐๐๐จ๐จ๐๐๐
#๐๐ฃ๐๐ฉ๐๐๐๐ค๐ง๐ฉ๐๐๐๐๐ฃ๐จ
#๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐จ๐จ๐๐ข๐๐ฃ๐ผ๐ฉ๐๐๐ฃ๐๐ฉ๐
#๐๐ก๐๐ฏ๐๐ง๐๐๐
#๐๐๐๐
man utd |View attachment 2706708
Watu kama nyie ni MUHIMU SAANA katika jukwaa hiliComparison ya ETH na hawa ipo kwa aina ya Uchezaji, Mwanzo ETH akiwa na AJAX ya Kwanza alikuwa anacheza zaidi Possession Game {Hapa alireplicate Game ya Pep}, na alitegemea zaidi CM's ila Awamu ya Pili baada ya timu kubomoka alitengeneza timu inayofanya Transition zaidi kwa aina ya Players alokuwa nao
Kwa sasa hivi UTD yake inaenda fanana zaidi na Timu ya Klopp kwa aina ya Uchezaji mana Inategemea zaidi Transitions, Hizi zaidi ni zile fast Break baada ya kupata Mpira, CITY wanaeza pata Mpira na kuanza piga sideways Passes kwa sababu wana ubora katika hilo na kufanya Build Up kwenda kushambulia kwa kutumia Nafasi zaidi, UTD na LIVERPOOL inakuwa tofauti Shambulizi zao Mingi zinategemea Mikimbio ya Players wake na Ndo mana Liver wanakuwa hatari zaidi wakiwa wanakuja baada ya kunyang'anya Mpira sawa ya na UTD na ndo inapoelekea View attachment 2706261
Hapa i Chose to Differ, Klopp akianza julikana na Dortmund alikuwa na CM's Soft sana kama unavyowaita Mana alikuwa na Nuri Sahin na Shinji kagawa, Baadae ikawa ni Goetze na Marco Nyuma ya Robert, {Timu zake huwa na Punda, na Dort alikuwa ni Grobkeutz na Kuba}
Sasa hivi amemchukua Szoboszlai na McAllister ambao ni Type za kina Ericksen, FDJ anacheza timu yeyote na Mfumo wowote na hata ukiangalia kitakwimu ana-Balance Game yake kwenye zones zote za Uwanja, Angalia hapa Chini kati ya hao walosajiliwa na wametoka kwenye timu za High Tempo {RB Liepzig} na {Brighton} dhidi ya FDJView attachment 2706270
Kwa nini nakwambia UTD inaenda fanana zaidi na Klopp, ni kwa sababu hii ulosema, Rashford Last season amekuwa na msimu bora maana amekuwa akitumika shambulia hizo half Space {Nafasi kati ya CB na Fb} LIVERPOOL Ikiwa na Miaka Productives 18/19~19/20~20/21 watu hatari zaidi walikuwa ni Salah na Mane sababu Firmino anajua Drop Chini na kuwa kama Additiona Attacking Midfielder, Season Ilopita wameteseka na Injuries na Mabadiliko ya Timu
Hojlund ni Monster kwenye Transition na Ndo mana ETH alikuwa Target yake ya kujilipua ingawa Awali alikuwa anamtaka Kane mana Harry anajua Drop chini na kufanya kazi kama ya Firmino, So Ufananisho wa ETH na Klopp kwa aina ya Game anacheza na anataka icheza ni Mkubwa Chief!