Hawatupendi licha ya anguko letu la miaka 10Wazee wa Livescore hao
Namuona Onana ni kama mshambuliaji sasa tunapaswa tupate straiker hawa kina Rashford hapana.
Tumtukane kwa lipi?
Lijend mbona mapema Sana
| Andy Cole on André Onana:
"I don't care if you can do 10 kick-ups, a goalkeeper needs to be able to save the ball." [MUTV]
hizi tabia hua ni washabiki wa arsenal this is too low kwa shabiki wa liverpool you are more than this waachie wale watu arteta ball huu utotoYani Onana kwakweli hamna kipa pale goli kipa yoyote aliye serious na kazi yake lazima zile goli mbili atoe save hata moja kama ile tikitaka hata kipa wa Kitayose fc anadaka.
Umesahau kwamba msimu huo timu ilifukuza kocha ikaajiri director of football kuwa kocha ?Acha siasa wewe
Kama ni nyuma ya aseno na msimu 2021/2022 utasemaje aseno alituacha point 8+ licha hakuwepo wala nini ...Msimu jana katuacha point 9+
Ndio maana nikasema hamna akili hiyo kauli alitoa kabla ya mechi acheni kuvamia nukuu bila kufuatilia zaidi mtatia aibu siku moja.Wasome wenye timu yao wenyewe
Ndio maana nikasema hamna akili hiyo kauli alitoa kabla ya mechi acheni kuvamia nukuu bila kufuatilia zaidi mtatia aibu siku moja.
Eti wenye timu yao wapi imeandikwa timu ni ya Andy Cole au kuwa legend ndio unakuwa unajua majukumu ya kocha,hao ni waropokaji kama akina Gary Neville na Roy Keane huku
Legends wetu wanaojua soka ni Rio Ferdinand
Kukandwa na maji ya baridi sio poa, leo hii Cole hajui mpira
Tushazoea acha kulialia mtoto wa kiume kila day mawazo yako negative tu hamia Man City ufurahi kila siku hawana mapungufu kama yetuPray for the best but get prepared for the worst
We jamaa ni Qumer, do me a favor plz, don't quote ma' postTushazoea acha kulialia mtoto wa kiume kila day mawazo yako negative tu hamia Man City ufurahi kila siku hawana mapungufu kama yetu
We jamaa ni Qumer, do me a favor plz, don't quote ma' post
Kuna wapuuzi wamevamia jukwaa juzi tu hapa wamefanya jukwaa ni lao, ukiwa na mawazo tofauti unaitwa mama na kauli zingine za kutu disvalue, tupo humu ndani toka kipindi cha moyes, na wapuuzi kama hawa huwa wanakuja na kuondoka wanatuacha,Mbona lugha zisizo na staha zenye matusi zimejaa hili jukwaa? Shida nini vijana
Kuna changamoto ya malezi kwa vijana wa kisasaKuna wapuuzi wamevamia jukwaa juzi tu hapa wamefanya jukwaa ni lao, ukiwa na mawazo tofauti unaitwa mama na kauli zingine za kutu disvalue, tupo humu ndani toka kipindi cha moyes, na wapuuzi kama hawa huwa wanakuja na kuondoka wanatuacha,
Shabiki wa timu pinzani akiongea negative tunachukulia kama challenge ila fellow mwenzetu hatuwezi vunga.Kuna wapuuzi wamevamia jukwaa juzi tu hapa wamefanya jukwaa ni lao, ukiwa na mawazo tofauti unaitwa mama na kauli zingine za kutu disvalue, tupo humu ndani toka kipindi cha moyes, na wapuuzi kama hawa huwa wanakuja na kuondoka wanatuacha,