Dogo atawaka sana huko na tutamtamani yetu macho. Nilifuatilia aina ya magoli aliyekuwa akifunga akiwa academy nahisi kule hakuna pressure na atakuwa comfortable.
Technical levels ya wachezaji wengi wa madrid ni ya kushangaza, wana kundi kubwa la wachezaji wenye uhakika wa kukupa good performance muda wowote kutokana na ule ubora wao.
Vilabu vyetu vina la kujifunza pindi vinapofanya recruitments.