Manchester united na Arsenal wana upinzani wa ajabu sana.
Wale wajinga wawili (ferguson na wenger) wamewafanya mashabiki tuwe na mihemko na utani sana
Hakuna jambo linaloniudhi kama kufungwa na Arsenal yeyote ile,
Na mashabiki wa Arsenal nao wana mtazamo huo huo dhidi yetu.
La muhimu zaidi hawa mabwana wawili (ten hag na arteta )waturudishie ile heshima tulioizowea huko nyuma.