Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Vitoto ni vyote
Kipa anatoka U21 uko
maino uko U21
Gernacho U21
Bado unauliza watoto wangapi wakati team yako imeweka kikosi cha Uefa
Chagua hapo kwa sub Basi maana walioanza sisi wengi U 23

Sub zetu

White
Tierney
Zinchenko
Kiwior
Partey
Jorginho
Jesus
Trossard
 
Saka ni gabby ni vibabu U21 gani wale we mzee ebu uone aibu.

BTW sub za Man U kuna case,Rashy,Ericksen,Onana,VDB,Lindelof em tulia muda ufike
Dah Basi bana hao hata miaka 22 hawajafikisha
 
[emoji1787][emoji1787] mech ya Leo naenda hasa kuangalia tactics ,je mmebadilika ,je viungo wenu ambao hawawez kukaa na Mali wanachezaje au 7hag ata keep possession kwakutumia backline

But naona mkishindwa kukaa na Mali Basi 4+ inawahusu
EtH kashasema, kufuata identify ya United anataka transition football. Mpaka hapo United haiwezi kukaa kwenye sentensi moja na neno possession.
 
mechi ya baadae kwa watakaoangalia mpira zingatieni yafuatayo.

asenyani wataupiga mwingi lakini wataishia kufungwa au kupata sare.

mainoo ataupiga mwingi kuliko viungo wote wa asenyani.

baada ya mechi asenyani na benchi lao la ufundi wataenda kukuna kichwa kwasababu hawataamini watakachokiona.
 
Sub hizi hapa ,waweke unaoona Wana afadhali

Sub

White
Tierney
Zinchenko
Kiwior
Partey
Jorginho
Jesus
Trossard
Wajichagulie wenyewe ambao wanaona kipigo kitakua nafuu[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hongereni nyumbu
Nyumbu mpo vizuri[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]

Uchizi wenu wa kujiita Taito Kontenda sijui mtauanza lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…