Kwanza dogo ni shabiki wa United yani watakachofanya United ni kama kumsukuma mlevi tu.Dogo wawahishe pesa tu kabla ya Jumatatu tunampta tena kusiwe na negotiations nyingi wakaruhusu mwanya wa PSG kumuwahi
Zimeisha toka mchana mbona ,Inasemekana tiketi za mechi ya kesho kutwa zimeshamaliza.
Tutegemee kutapika kwa uwanja
Sikia Enrique sio kwamba anamtaka as target man , halafu PSG sajili zao hazijawahi kuelewekaEnrique anamtaka Hojlund ila makocha wa JF wakiskia ni EtH anamtaka utaskia "EtH hana talent ID".
Kishaumana hapa😂😂😂😂,dah hii timu yangu jamani lazima tupate upinzani tu dahPSG are ready to pay €60m for Rasmus Hojlund. Luis Campos and his agent have been discussing figures for several weeks now.
#Tanziloic
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐
man utd |View attachment 2695534
man u ni wazembe tu yatajirudia yale yale ya gakpo na min jae.PSG washaanza kumsogelea Hojlund, yasije yakajirudia ya Min-Jae.
man u hamna kitu maneno mengi utendaji sifuri, yatajirudia yale yale ya gakpo na min jae.Dogo wawahishe pesa tu kabla ya Jumatatu tunampta tena kusiwe na negotiations nyingi wakaruhusu mwanya wa PSG kumuwahi
Ishu sio maneno mengi ni kwamba wapo slow,ukiachana na kukataliwa Man United wakiamua serious kumtaka mchezaji hawamkosi kwa sababu hela yoyote huwa wanatoa.man u hamna kitu maneno mengi utendaji sifuri, yatajirudia yale yale ya gakpo na min jae.
"Sasa ukija kwetu wapo kama kobe mazungumzo wanafanya hadi mwezi mchezaji mmoja." ndiyo hayo maneno mengi nayomaanisha mazungumzo gani ayo wanafanya Kwa muda mrefu hivo kwa mchezaji mmoja tu, na huyu onana wanabahati tu hakuna timu kubwa ya level ya united imeonesha interest na kupeleka ofa inter vinginevyo wasingempata.Ishu sio maneno mengi ni kwamba wapo slow,ukiachana na kukataliwa Man United wakiamua serious kumtaka mchezaji hawamkosi kwa sababu hela yoyote huwa wanatoa.
Shida ipo kwa timu ya kushughulikia masuala ya usajili unaweza ukakuta negotiations za mchezaji mmoja zinaweza kuchukua hadi wiki 3 hata mwezi kabisa.
Truthfully navutiwa na kamati ya usajili ya Liverpool kama ingekuwaga FSG wanatoa sana pesa huenda wangekuwa tishio zaidi ya sasa maana huji kuona tetesi za hovyo kwao wakimtaka mchezaji wiki haiishi washambeba mfano halisi ni sajili za Diaz,Nunez,Gakpo,Mac Allister na Szobozlai zimefanyika fasta sana.
Sasa ukija kwetu wapo kama kobe mazungumzo wanafanya hadi mwezi mchezaji mmoja.
Hizo sajili zote za Liverpool ulizotaja hapo ni sababu Zina Release clauseIshu sio maneno mengi ni kwamba wapo slow,ukiachana na kukataliwa Man United wakiamua serious kumtaka mchezaji hawamkosi kwa sababu hela yoyote huwa wanatoa.
Shida ipo kwa timu ya kushughulikia masuala ya usajili unaweza ukakuta negotiations za mchezaji mmoja zinaweza kuchukua hadi wiki 3 hata mwezi kabisa.
Truthfully navutiwa na kamati ya usajili ya Liverpool kama ingekuwaga FSG wanatoa sana pesa huenda wangekuwa tishio zaidi ya sasa maana huji kuona tetesi za hovyo kwao wakimtaka mchezaji wiki haiishi washambeba mfano halisi ni sajili za Diaz,Nunez,Gakpo,Mac Allister na Szobozlai zimefanyika fasta sana.
Sasa ukija kwetu wapo kama kobe mazungumzo wanafanya hadi mwezi mchezaji mmoja.
Hizo sajili zote ni kwa sababu timu zao zinajishauri kuwaachia hao wachezaji ila wangekuwa washawauza muda tuHizo sajili zote za Liverpool ulizotaja hapo ni sababu Zina Release clause
Vipi kuhusu mancity na Josko, Chelsea na caicedo ?
Msiwalaumu Sana mabaosi wa man u usajili mgumu Sana Chelsea na mancity si wameambiwa watoe 100 kwa hao wachezaji mbona wanashindwa kuwachukua mwezi na zaidiHizo sajili zote ni kwa sababu timu zao zinajishauri kuwaachia hao wachezaji ila wangekuwa washawauza muda tu
Allison alitoka ligi ipi?Mdau kutoka Facebook
De gea kipa bora epl msimu ulioisha tunamwacha anaondoka bure halafu sisi tunasajiri shati onana hii epl sio kama ligi yawakulima uholanzi au italia kipa inatakiwa awe mzuri kwenye saves kuliko mbwembwe zingine kama kuwa mahili kwenye utoaji wa pasi kwa sababu epl hakuna mnyonge watu wanafika golini kama nyuki nakwenye save Onana pazia,huyu kocha akimaliza season hii inayokaribia kuanza nahama nchi
Mjumbe hauwawi
Operation ni kuifilisi Manchester UnitedMdau kutoka Facebook
De gea kipa bora epl msimu ulioisha tunamwacha anaondoka bure halafu sisi tunasajiri shati onana hii epl sio kama ligi yawakulima uholanzi au italia kipa inatakiwa awe mzuri kwenye saves kuliko mbwembwe zingine kama kuwa mahili kwenye utoaji wa pasi kwa sababu epl hakuna mnyonge watu wanafika golini kama nyuki nakwenye save Onana pazia,huyu kocha akimaliza season hii inayokaribia kuanza nahama nchi
Mjumbe hauwawi
Product ya La Masia hiyo.Onana ni ivo mapunda mwenye bahati