Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Japo ni mtoa maboko hii si alishaifafanua
 
Hii ni list ya winga bora kuliko Rashbeck lakini wanalipwa kidogo kuliko huyu pepe wa kingereza

Vinicius Jr
Rodrygo
Rafael Leao
Diogo Jota
Luis Diaz
Grealish
Foden
Federico Chiesa
Kingsley Coman
Wanagoal na assist ngapi tuwalinganishe kwa statistics..

Rashford anaweza asiwe mzuri sana ila unamkosea heshima..
 
Hojlund anakusalimu. Nyie tunawakanda home and away msimu huu. Huku Rashford huku Antony mbaya wenu.
 
Shida ni lile goli aliowapiga.
Mnapenda kutafuta vichaka

Ukweli pale hakuna mchezaji ,ni moja ya sajili ya kitapeli kuwahi kutokea

Mliwapa presha Grazzer kuuza timu wakatoa €100m haraka kutuliza ghasia ,ila awali kabisa mngemnunua hata kwa €30m
 
Hilo lipo wazi Antony hafai kuwa first 11 ni hasara kwa namba 9 wetu mara mia kocha ampe nafasi Diallo ama Pellistri ikiwezekana Emeran pia anaonekana kuwa na vision kuliko Antony.
 
Mnapenda kutafuta vichaka

Ukweli pale hakuna mchezaji ,ni moja ya sajili ya kitapeli kuwahi kutokea

Mliwapa presha Grazzer kuuza timu wakatoa €100m haraka kutuliza ghasia ,ila awali kabisa mngemnunua hata kwa €30m
Tajiri huwa hapangiwi matumizi na masikini mkuu, hivi kweli Arsenal ni wakumpangia matumizi utd?
 
Li supercomputer limetabiri eti mtamaliza nafasi ya 6

BetVictor’s ‘Supercomputer’ predicts the 2023/24 Premier League.

  • Arsenal given 14.4% chance of winning the title
  • 84.1% chance of top-four finish
  • Man Utd to finish 6th
  • Chelsea 10th
  • Sheff Utd, Bournemouth, Luton relegated

(betvictor.com/en-gb/sports/2…)
 
Sir Jim anakaribia kuchukua timu ,ni habari nzuri hii inatia moyo

Manchester United takeover:

Sir Jim Ratcliffe's fellow Ineos chief Sir Dave Brailsford insists they are 'very keen' to complete purchase - amid fears the Glazers won't sell

@MikeKeegan_DM
 
Kijana hapa ni either Glazers wanabaki na timu ama wanaiuza kwa Sheikh Jassim.

Members wanne wa familia tayari wametia saini bado Joel na Avram tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…