Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nyie siku zenu za kurudi kwenye mapango kujificha zinahesabika. Msimu ujao nakuhakikishia namaliza juu yako timu pekee zinazonitisha ni Liverpool na Manchester City
Huna timu bana ukweli waujua kwa beki gani kipa gan fowadi gani hata top 4 huingii
 
Sawa
 
hamis 77 una chuki kali sana juu yetu.
REMEMBER " word for women, action for men" sisi ni bora kuliko nyie, thus hatuongei sana, hapa nmejibu kuwawakilisha fans wa united, coz tuko busy na action kuliko maneno.
Uzuri mm Naongeaga uhalisia mnasema Nina chuki, hata wenzako wanakuja kwa jukwaa letu kuongea ujinga

Mm nasema uhalisia Wala sio chuki ,mwaka Jana nilisema hivo kwa Chelsea walisema hivo hivo Kama wewe maana mpira ni mchezo wa wazi

Yaan kwa mabeki wake kina varane ,bisaka , dalot uchochoro ,viungo kina casemiro ,Fred ,mawinga kina Anthony masebene, unataka tusifie ujinga?

Nitarudi kufukua hizi comment najua hutakuwepo maana wewe sio mtokeaji Sana humu
 
Unashinda kwa wanaume muda wote kuliko hata kwenu hii inaonesha jinsi gani hamna maajabu sisi wabovu tunatrend kuliko bora
 
Poa, tutaona kaka
 
Hivi usajili umesimama au maana kimyaa wiki inakata, Timu yangu hii jamaa anaenda pre season na sajili Moja tu.
 
Hii project ya arteta itavuta nyumbu na Kenge wote
Wewe ujiulizi Flano muda wote yupo Kule the Gunner kiumeni
Amefikia hatua anaiwaza arsenal NDOO kuliko unyumbuni
Asenyo Kondoo
Lile jukwaa lenu ni kama kijiwe cha kawaha tu, uongo uongo mwingi mixer kujitoa akili.
Jukwaa lenu mimi hua nalichukulia kama jukwaa la comedy(jokes) hua nakuja kule kupunguza stress tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…