King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,980
- 4,942
Utoto ni raha sana hasa ukiwa na elementi za kikePesa walizotoa boss msimu uliopita
Na msimu huu meshusha Mount, Onana, ....
Alafu anaambiwa aachie timu,
Ungekuwa wewe ungekubali?
Mnao mabeki wa kucheza na Onana katika kufanya build up?
Kuna games nyingi msaada wa de gea mkaishia kupigwa 4, 5, 6 na juzi juzi hapa mlikula 7
De gea na Onana Nani yupo vizuri kwenye savings?
Technically nyumbu mmeshatupa taulo ulingoni kabla ligi haijaanza
Arsenal fans huwa mnamatatizo sana.De gea anaondoka magwaya anabaki
Na nyumbu wote mmelifumbia macho hili swala, kana kwamba it's okey
Casimiro, ericksen bruno, Fred
Hiyo ndio midfielders mnayoenda kuanza nayo kwenye ligi.
Alafu nyumbuz mnaseme ligi ianze tu.
Hao hao wamemaliza nafasi ya 3 na kombe juu + Fainali ya FA, ukiongeza Mount msimu huu watabeba makombe 2, wewe timu yako ya viungo nyanya ina makombe mangap?De gea anaondoka magwaya anabaki
Na nyumbu wote mmelifumbia macho hili swala, kana kwamba it's okey
Casimiro, ericksen bruno, Fred
Hiyo ndio midfielders mnayoenda kuanza nayo kwenye ligi.
Alafu nyumbuz mnaseme ligi ianze tu.
Onana plus mabeki wenu wake na viungo wanaopoteza mipiraOnana + backup GK. Hojlund aje na Martial abaki mpaka next summer. Tukipata pesa kwenye sales tumchukue Amrabat.
Ready for next season!
Sio mabeki tu hata viungo ,ukimtoa Eriksen Nan anaweza kupokea mipira chini na kusambaza bila shida hata akipigwa presha ya maana , hapo ndipo Degea alikuwa anajichukulia pointNikimfikiria Maguire akipsiwa pasi na Onana ndani ya 18… hahahahahh nacheka utadhani madhuri
ETH pls sajiri beki za kuendana na Onana please, well footwork
Mtu kaweka hoja mezan ,unaacha kushambulia hoja ,unashambulia personality,Arsenal fans huwa mnamatatizo sana.
Huwa mnakuwa wabishi na maneno mengi ya kebehi
Tulisema hivi hivi kuhusu Anthony masebene kuwa pale hakuna mchezaji ,
Leo % kubwa mnakubali pale ulifanyika utapeli
@DAEMUSHIN njoo umjibu huyu,namna EtH anafoolish watu akiwa kwenye media.sidhani kama ni maamuzi ya ten hag haya. Amekiri mara kadhaa confidently kuwa anahitaji abaki. Nadhani kilichomuondoa kipo nje ya uwezo wa kocha.
Ukiwa unataka kucheza modern football unamchagua nani De Gea au Onana?Onana plus mabeki wenu wake na viungo wanaopoteza mipira
Sitashangaa mkimkumbuka Degea
Mimi nimefurahi Sana maana alikuwa kikwazo mechi zetu nyingi tusiwabonde nyingi ,
Safari hii na asilimia kubwa tunawapiga 3+
Onana ila awe na mabeki plus viungo wakuendana nae, lasivyo yatakuwa kama ya kepa , Kepa Ni modern GK ,but angalia akicheza na kina kolibaly,Ukiwa unataka kucheza modern football unamchagua nani De Gea au Onana?
Onana ila awe na mabeki plus viungo wakuendana nae, lasivyo yatakuwa kama ya kepa , Kepa Ni modern GK ,but angalia akicheza na kina kolibaly,
Kikwazo kikubwa cha kucheza modern football, kilikua ni GK.Onana ila awe na mabeki plus viungo wakuendana nae, lasivyo yatakuwa kama ya kepa , Kepa Ni modern GK ,but angalia akicheza na kina kolibaly,
Ndiyo tumeamua, De Gea kiazi tu muda mwingine. Ukitoa shot stopping hana chochote kusaidia timu. Distribution mbovu, cross claims sifuri, DDG muoga sana.Onana plus mabeki wenu wake na viungo wanaopoteza mipira
Sitashangaa mkimkumbuka Degea
Mimi nimefurahi Sana maana alikuwa kikwazo mechi zetu nyingi tusiwabonde nyingi ,
Safari hii na asilimia kubwa tunawapiga 3+
Halafu si ni wewe juzijuzi ulisema , Ten hag asipobadiri kipa ajiandae kufail anachokipanga?Onana ila awe na mabeki plus viungo wakuendana nae, lasivyo yatakuwa kama ya kepa , Kepa Ni modern GK ,but angalia akicheza na kina kolibaly,
Hivi Martial akiwa uwanjani mbona Kama analazimishwa kucheza?
Kuna sehemu nimekataa mabadiliko ya GK? Point yangu Ni Kama mabek na viungo Ni hao hao ,bado kazi ipoHalafu si ni wewe juzijuzi ulisema , Ten hag asipobadiri kipa ajiandae kufail anachokipanga?
Mpira ni ule ule naona mnapaka mafuta eti modern football!!Ukiwa unataka kucheza modern football unamchagua nani De Gea au Onana?
Hapana! Kuna vitu vimebadilika, kuanzia sheria, namna ya uchezaji, majukumu ya wachezaji uwanjani: full backs, goalkeepers.Mpira ni ule ule naona mnapaka mafuta eti modern football!!