Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hawa wanaotaka majina naona ni kama wamesahau, utd misimu ya karibuni tumekuwa tukisajili majina kwa bahati mbaya asilimia tisini yalifeli. Tukianza na Pogba Falcao, Di maria, Sanchezi na Sancho yote haya yalifeli au yamefeli. Utd miaka yote tangu enzi ya Sir Ferg tumekuwa tukisajili wachezaji wasio na majina na kuwafanya wawe na majina, mambo ya kusajili majina hayo niyakina Madrid.
 
Naliona kubwa la "Mabishoo" Martial hapo..

Sijui kama kutakuwa na clear out yoyote ya maana.
 
Update ya takeover
92 foundation imekuwa registered ndani ya Cayman Islands ambapo ndio zilipo headquarters za Manchester United.

Hii imetoka mida hii source ni Oracle NYSE.

Maana halisi ni kwamba kilichobakia ni kuingizwa mtonyo tu na Qatari wajibebee timu

Achaneni na sources za UK wengi ni Anti-Qatar wanaleta updates negative tu
 
Sometimes tusisikilizage upuuzi mwanzo walisema bajeti ya usajili ni €100-120m halafu kashasajiliwa Mount huku Onana soon akifuatiwa na Hojlund hapo jumla inavuka €150m+

Imekaa vp ama haters ndio walikuwa wanataka kutuumiza tu
 
Huyo hojilund, ni hatari sana anauwezo wa kufunga sehemu yoyote ambayo huwezi kutegemea kwakweli asajiliwe mapema.
 
Subiri msajili ndio mseme hayo, subir mwisho upige Net spend tuone ukweli Ni upi ,
 
Huyo hojilund, ni hatari sana anauwezo wa kufunga sehemu yoyote ambayo huwezi kutegemea kwakweli asajiliwe mapema.
Achen kujidanganya , ni mchezaji aliyetokeza zaid msimu huu Katika mechi 32 ana Goli 9 tu

Haja prove ili tujue Uwezo wake ,kwa £50m+ Ni utapeli tu

Mwaka Jana wakati Liverpool wanamsajili Nunez kwa €80m nilisema Kuna hatari ya kupigwa sababu amefanya vzr msimu mmoja tu , lakin akawa anafananishwa na halland ambaye tayari alikuwa na 3 season kathibitisha ubora ule ule

Wachezaji wa one season wonder Ni 60% akafeli ,40% aka click ina depend na mazingira
 
Dr.Shika anaamini ataimiliki manjesta

Dr.Shika

𝗔𝗸𝗶𝘇𝘂𝗻𝗴𝘂𝗺𝘇𝗶𝗮 𝗸𝘂𝗵𝘂𝘀𝘂 𝘂𝗻𝘂𝗻𝘂𝘇𝗶 𝘄𝗮 𝗠𝗮𝗻 𝗨𝗻𝗶𝘁𝗲𝗱

"Nimetia saini makubaliano ya kutofichua jambo lolote hadharani kwa hivyo siwezi kusema mengi. Lakini bado kuna mchakato - na tuko kwenye mchakato."

"Tuna ofa nzuri na tumekutana na Glazers mara kadhaa. Tumekuwa na mazungumzo mazuri nao.”

"Bado tunapenda sana kuipambania nafasi hiyo tutafanya mambo kwa sababu zinazofaa. Lakini mwishowe ni uamuzi wao sio uamuzi wetu.”

Dr.Shika 𝗸𝘂𝗵𝘂𝘀𝘂 𝗸𝗮𝗺𝗮 𝗮𝗻𝗴𝗲𝗼𝗺𝗴𝗲𝘇𝗮 𝗷𝗶𝗻𝗮 𝗹𝗮 𝗜𝗡𝗘𝗢𝗦 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗝𝗶𝗻𝗮 𝗹𝗮 𝗨𝘄𝗮𝗻𝗷𝗮 𝗢𝗹𝗱 𝗧𝗿𝗮𝗳𝗳𝗼𝗿𝗱 𝗸𝗮𝗺𝗮 𝘀𝗲𝗵𝗲𝗺𝘂 𝘆𝗮 𝗺𝗸𝗮𝘁𝗮𝗯𝗮 𝘄𝗮 𝘂𝗳𝗮𝗱𝗵𝗶𝗹𝗶:?

"Sikuwa nimefikiria hivyo, lakini hapana. Huo utakuwa uzushi. Nisingebadilisha. Daima ni Old Trafford."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…