Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Harry Maguire is going to have a chat with Erik ten Hag. There is a chance he will leave the club.

[FabrizioRomano]
#𝙏𝙧π™ͺπ™¨π™©π™π™π™šπ™‹π™§π™€π™˜π™šπ™¨π™¨π™€π™π™ƒ[emoji1179][emoji3541]
#π™π™£π™žπ™©π™šπ™™π™›π™€π™§π™©π™π™šπ™π™–π™£π™¨[emoji2522]
#π™Žπ™π™šπ™žπ™ π™π™…π™–π™¨π™¨π™žπ™’π™„π™£π˜Όπ™©π™ˆπ™–π™£π™π™©π™™[emoji837]
#π™‚π™‘π™–π™―π™šπ™§π™Šπ™π™[emoji469]
#π™‚π™‚π™ˆπ™[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Huu Ni ukweli lakini watu hawapend kuukubali , sajili Kama za hojlmund Ni kuna connection ya wakala wa 10 hag ndio wakala wa huyo dogo,

Sajili zake zote au asilimia kubwa Zina connection au alishawahi kuwafindisha au wamepita Erevedise

Watu walihoji kwanini asingempa nafasi McNeill au akatafuta CF wamaana kuliko kumleta ndugu yake Weghost ambaye hajafunga Goli hata 1
 
Kijana inaonekana hufuatilii vyema soka Hojlund ana miaka 20 tu na hajawahi kuwa na connection na ETH hadi mwezi uliopita alipojiunga na Agency ambayo inamsimamia pia ETH.

Connection ya chini ya mwezi mmoja au sio?[emoji23]
 
Unamaanisha Charlie McNeill? Kama ndiyo, naona bado kwake kutegemewa. Anaweza kuwa na kila kitu kucheza CF ila kwa EPL anahitaji muscular physique.

Weghorst alikuja kwasababu Glazers waligoma kutoa pesa na kocha hakuwa na option nyingine. January kupata quality striker ni ngumu sana.
 
Anamtaka Sofyan Amrabat, alishawahi kumfundisha Utrecht but the so called top red watasema tuna ajenda na ten hag
 
Anamtaka Sofyan Amrabat, alishawahi kumfundisha Utrecht but the so called top red watasema tuna ajenda na ten hag
Sasa ajabu nini mbona hata Ancelotti alikuwa anamvuta James Rodriguez kila anapoenda,ama JosΓ© Mourinho na Matic na ukichimba zaidi makocha wengi wana kawaida hiyo sio dhambi kufanya kazi na former players wako ila walioota kutu kwenye ubongo kila kitu kwao nongwa[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Sabitzer ilikuwa ni replacement ya Eriksen aliyekuwa injured.
 
Wakati tunafungwa sita Casemiro alikuwa hajakamilisha taratibu za usajili
 
Pesa za kufanya usajili katika dirisha dogo, za kutafuta striker maana alikuwa nazo ?

Kwenye dirisha la January ni striker yupi wa maana alikuwa sokoni ?
 
Pesa za kufanya usajili katika dirisha dogo, za kutafuta striker maana alikuwa nazo ?

Kwenye dirisha la January ni striker yupi wa maana alikuwa sokoni ?
Dirisha kubwa alipewa Β£211m(€245m) ,akatapanya akijua man u Ni kisima Cha Pesa ,akatoa €100m kwa yule Anthony ,€70m kwa Casemiro ambaye hatuna uhakika Kama atadumu msimu huu kwa kiwango kile kile sababu ya umri ,
Alifanikiwa japo naonaga Kama bahati kumpata Lisandro Martinez ,maana connection ya van der sar , plus maamuz ya mwisho ushawishi wa pesa maana Arsenal tulikuwa tumchukue kwa €50m tu, ila sababu alikuwa na mzigo wa Β£200m+ alitoa nearly Β£62m(€70m),fair enough huu Ni usajili bora

Hiyo pesa angeweza kusajili young GK,CB,RW na DM ambapo dirisha hili angeimarisha attacking na sehemu chache , Sasa alijua Kuna pesa za kuchota , January wakamkaushia , dirisha la Sasa tetes zilianza man u isipoingia UCL ,bajet itakuwa finyu , now imeingia but Kuna number kubwa ya wachezaji wenye wage Bill kubwa , lazima waondoke waje wapya

Kwahiyo kwasasa ajifunze matumizi mazuri ya pesa

Kwasasa achague moja

CF lakin ampe mkataba Degea au

Onana lakini no CF

Au auze waliopo abane apate CF plus new GK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…