Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Which of these players are you willing to give at least one more season?

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃

#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨

#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙

#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏

#𝙂𝙂𝙈𝙐


man utd |
 
Kocha wako anahitaji keeper ambaye yupo vizuri with his Feet.Na Onana kwa sasa ni Best keeper in the World with his Feet.
Ni ngumu sana kumtoa De Gea kwenye fikra za wana United wengi ndio maana nyuma hapa tulimuona kipa bora Duniani.

Wapinzani wakatuponda mbona national team hana nafasi mbele ya Kepa.

Hata mimi nilikuwa mtetezi nilikuwa siamini katika footwork ila nikaja kunadilika kifikra mwanzo wa 2022/23.
Kuwatazama Raya,Becker,Ederson,Ramsdale,Sanchez wa Brighton pamoja na yule kipa namba 2 wao nilijikuta nafuta yale mawazo ya kukariri.

Naamini hata hawa wakija kuona faida ya Modern Goalkeeper watashukuru sana na watajuta kuchelewa kutambua hilo.


Haya kama asipokuwa Onana kuna plan B kipa wa Feyenoord Bijlow ila kuhusu De Gea tuseme tu Thank You.
 
Tupo wengi. Pale hamna kipa ila watu wabishi kwasababu ya ile fainali tu.

Hata Uzoho aliwahi kucheza mechi yake vizuri sana pale OT na alikuwa ni backup GK wa Omonia.

Onana ukitoa pasi zake zile anakosa vitu vingi vya kumfanya kuwa kipa bora.
Hata mm nataka kujua zaidi kuhusu Onana ukitoa ile fainal

Vipi kwenye shot stopping,hili eneo muhimu Sana
 
Taratibu ndugu, wengi Wanataka kumjua ili wasilaumiane, Degea na ujinga wake wote , ana mazuri yake yaliyoiweka man u Mjini

Tusitegemee man u gafla itaanza possession football, je ikianza pitia Kashi Kashi zile Degea alikuwa anaonekana shujaa je Onana atazimudu

Watu wanajiuliza maswali engo hiyo
Wengi onana hawajui kiundan lazima wahoji isije baadae ikaonekana Bora Degea
 
Aina noma muda utaongea
Maana Kama kweli 10hag anaenda na onana Basi ahakikishe anagusa na engo nyingine kwa kuweka watu sahihi,isije kuwa Onana anacheza bado na mabeki ambao wachomaji au anapiga pass zake viungo wanaporwa

Ili umfaidi onana acheze na backline isiyo na uwoga wa kupiga pass ,viungo pia wasiwe waoga kupiga pass ,

Uchezaji wa onana Ni similar na Djigui Diara
 
Hiyo sekta ya kushambuliwa kama nyuki inakuwa inaashiria timu bado mbovu ina viungo wasiojua kucontrol mchezo kuna muda inatokea vitu vipo nje ya uwezo wa kipa ndio tunapigwa zile 4 4 hata 6 kabisa.

Timu ikija kujua kucontrol mchezo eneo la kati hatutaexperience hivyo tutakuwa tunaruhusu mashambulizi machache sana na yasiyo na madhara

So kushambuliwa sana shida sio kipa ni ya timu nzima,kama Onana atakuwa pazia whatever ila anahitajika kipa mwingine hata kama asipokuwa yeye sawa.

Ten Hag game za mwisho za msimu ndio zimemchefua kiasi hata akaghairi kumsainisha mkataba mpya De Gea.
 
Hiyo ndio sekta nyingine sina shaka na Martinez kwa hapo ila fikra zangu kwa Varane pia na pancha zake,kocha alimtaka Kim Min Jae yupo vizuri hilo eneo bahati mbaya tumemkosa tutaona atamchukua nani,Lindelof yupo vyema kwenye passing ila bado simuamini asilimia zote.

Eneo la kiungo napatwa na mashaka kidogo uwezo wao wa kupiga pasi ila tutaona mdogomdogo
 
Kwa msako ambao utd huwa tunafanyiwa na vitimu vidogo vidogo hasa Arsenal na Brighton kama tusipojirekebisha ipo siku tutamkumbuka De gea. De gea amekuwa akifanya save ambazo zimekuwa zikishangaza wengi hivyo kama tusipojirekebisha sioni kipa atayeweza himili misako ya namna ile.
 
 

Miaka michache nyuma sisi tulimsaka sana huyu mwamba ikashindikana. Mkimpata mmepata
 

Umeanza vizuri na ukaharibu hapo hapo. Msako unaofanywa na vitimu vidogo halafu unasema haswa Brighton na Arsenal? Aah bhana. Hakika unamaanisha vitimu vidogo vyenzenu kama Chelkenge na Liverkuku. Brighton na Arsenal ni timu kubwa sana kwenu
 
Umeanza vizuri na ukaharibu hapo hapo. Msako unaofanywa na vitimu vidogo halafu unasema haswa Brighton na Arsenal? Aah bhana. Hakika unamaanisha vitimu vidogo vyenzenu kama Chelkenge na Liverkuku. Brighton na Arsenal ni timu kubwa sana kwenu
Arsenal ana Champions
League ngapi?
 
wapo baadhi mfano mbappé.. alienda psg
kwa mkopo kutoka monaco kbla y psg
kumsajili mazima.
Huyo PSG waliogoga FFP ila walikuwa na uwezo wa kulipa zile €150m fasta.

Nazungumzia hawa ambao wanasajiliwa kwa mkopo ambao hauna uhakika wa kununuliwa fuatilia EPL kama kuna aliyetamba wengi ni za uso.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…