Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mabilionea wanakosaje pesa sasa 😄
 


Na Sasa mna champions league mmekuwa kivutio Kwa wachezaji wengi
 
At least fagio la chuma linaishia ukingoni
Hiki ndicho kilikuwa kisiki kikubwa, kipenzi cha Lampard, tangu baba yake afukuzwe amekuwa na manung'uniko makubwa ndani ya dresisng room ya Chelsea

Sisemi Mount ni mbaya, akijituma ni mchezaji mzuri sana ila tangu aanze kunung'nikia apewe mshahara sawa na wa james katuondolea morale ya dressing room

Wacha sasa tuanze upya, tutawasajili wazuri kuliko yeye

Mchungeni sana hako kakinda cha Cobham kasije kuwa kuwa ni agent
 
kwa huyu muhuni bora timu iendelee kubaki tu kwenye mikono ya Glazers.
Sijui kwa nini huaga sina imani na matajiri wembamba.
Yaani huyu mzee kila nikimuona akili yangu inaniambia huyu ni kroenke's Pro max.

😂😂😂 Kwamba tajiri mwembamba anajinyima mno ma pizza na ma burger? 😂😂

Matajiri wa majuu wanakula vizuri Kwa kiasi Kwa afya Ili waishi muda mrefu wakienjoy pesa zao. Sisi huku tukitajirika ni full kujiachia na Bata zote na kufa mapema.

Hata hivyo mkimpata shehe mtaleta ushindani mkubwa sana. Ligi ya England itatawala ulaya sana na tutaendelea kuona fainali za UEFA zikiwa na timu za england Kwa muda mrefu
 
pamoja na hayo ila matajiri wembamba wengi hua na karoho flani hivi ka kiwakiwaki.
Mimi mwenyewe mara kibao hua nashindwa kufanya kazi na matajiri wembamba.
 
pamoja na hayo ila matajiri wembamba wengi hua na karoho flani hivi ka kiwakiwaki.
Mimi mwenyewe mara kibao hua nashindwa kufanya kazi na matajiri wembamba.

Hawataki wengine wapate 😂😂
 
Erik ten Hag has blocked a move for Tom Heaton to Luton Town, where he would have been no.1 goalkeeper.

Heaton has been told he will not be allowed to leave #mufc this summer.

by Telegraph
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…