Rooney na Van Persie ni chachadu tu kama pilau halijapikwa utamu chachandu haina maana. David Moyes ni mgumu wa kuelewa na kufanya mabadiliko kuendena na matukio yanayotokea.
Amini nakuambia...huyu dogo naye akirudi Arsenal si chochote si lolote naye atakuwa kama wakina Giroud tu.
Lakini cha ajabu hapa anasukuma kabumbu balaa
Amini nakuambia...huyu dogo naye akirudi Arsenal si chochote si lolote naye atakuwa kama wakina Giroud tu.
Lakini cha ajabu hapa anasukuma kabumbu balaa
Hapa ni kuomba tupigwe la tatu, labda tukifikia kiwango hicho cha uchovu wafanyao maamuzi ndo wataona kwamba United hawana future kama wakiendelea kuongozwa na David Moyes