Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tangu kuondoka Fergie misimu ya United huwa inaisha pale dirisha la usajili linapofunguliwa. Kwanza msimu mzima tunakuwa hatujatambua machaguo ya wachezaji wa kuwaongeza kikosini na wale wa kuondoka,inatokeaga kama bahati tu. Ikitokea mashabiki wamepiga kelele sana anatafutwa staa aliye ukingoni au reject ya timu yake sisi mioyo inaburudika kugombea top 4!
2013 ni muongo mmoja tayari umekwisha na hawa Glazers wamedhamiria biashara zaidi kutoka kwenye hii fan base ya united.
 
Glazers ni washenzi sana aiseeh, sikutegemea kuona wakiifanya biashara kuwa ngumu kiasi hicho.
Grazzer hawawez kuachia timu kirahisi hivo, manjesta Ni chanzo kizuri Cha Pesa za bwerere

Wanataka mtu ambaye watagawana share , hii kusema wanauza timu walikuwa Wana beep tu,

Grazzer kinachowafelisha sio wajanja kwenye soka , wangetafuta Experienced DOF wangemuweka pale Wala wasingepigiwa kelele

Tatizo la manjesta Ni management tu , Ndilo lililoitafuna Chelsea msimu ulioisha ,msimu huu Toddy kakaa pembeni ,

€650m kazitupa chooni

Grazzer family nikionacho watakuja kuvamiwa , pressure ya mashabiki wa Manchester Ni kubwa Sana , huwa wanaandamana kabisa na kufunga mitaa , Kuna baadhi ya mashabiki wameanzisha na timu yao kabisa inaitwa UNITED OF MANCHESTER
 
Modern football imehama kwenye hardwork na kukusanya talents na kuziweka zifanye kazi,

Modern football inataka u define style of play Kisha uchague wachezaji sahihi wakucheza hiyo style , ukifeli hapo ndio Kama Chelsea kutumia €650m na hakuna matokeo chanya .
 
Tunamtaka sheikh jassim pale old t.
 
Manjesta pesa haitoshi



Manchester United have made a check on Declan Rice, but finances will prohibit them from paying £100million for a midfielder, which is West Ham’s asking price.

Arsenal are seen as strong favourites to be the 24-year-old England international’s next club.

@lauriewhitwell- Tier 1 for manjesta news
 
Manjesta pesa haitoshi



Manchester United have made a check on Declan Rice, but finances will prohibit them from paying £100million for a midfielder, which is West Ham’s asking price.

Arsenal are seen as strong favourites to be the 24-year-old England international’s next club.

@lauriewhitwell- Tier 1 for manjesta news
 
Grazzer family nawaelewa ,hawataki kutoa pesa kubwa Tena ,ile €250m last season inawauma Sana

Ilichezewa vibaya Sana

Yaani €100m kwa Anthony?


Safari hii 7 hag apambane na bajeti finyu , na Timu hakuna kupewa muarabu yeyote


Safi Sana Grazzer hebu baneni matumizi tuone
 
Timu anaenda kupewa Sir Jim , muarabu akafanye biashara ya Tende na ngamia


Sir Jim Ni mmarekani pia amekubali masharti ya kuuziwa Shea kiasi


Safi Sana Joel na Avram Watoto wa marehemu mzee Grazzer


“It has emerged in recent weeks that Sir Jim Ratcliffe’s bid feels like it is in a really strong position, they have gone into detail in negotiations. There is optimism that it will win in the end.” [@David_Ornstein on the #mufc sale]
 
Sir Jim kashinda hii Vita Muda wowote mtatangaziwa

Anaenda kupewa timu Kama Chawa

Grazzer family wataendelea kuiendesha timu kwa Remote



NEW: Sir Jim Ratcliffe is on the brink of being successful with his strategy of buying Manchester United with a deal likely to be clinched this month.
#MUFC

(via @Millar_Colin,@MirrorFootball)
 
Kazi kwelikweli, au jamaa hawakuwa na nia ya kuuza timu!!
 
Mpaka Sir Jim atambulishwe Kama mmiliki mpya tutakuta sokoni amebaki Vicent aboubakari

NEW: Tottenham chairman Daniel Levy refuses to sell Harry Kane to Manchester United. Real Madrid are working on a deal and hope to sign him for around €80M.
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 #RMFC #THFC

(via @jfelixdiaz
)
 
Nyumbu mme amua kuwa wauza jezi kwenye uwanja wa matofali ya kuchoma
 
Kazi kwelikweli, au jamaa hawakuwa na nia ya kuuza timu!!
Yah hawana hiyo nia ila wanafanya kiini macho , wamemtafuta mpambe wao Sir Jim Kama Chawa , ndiye atapewa kipaumbele
 
Grazzer watabakia na hisa 49%



The only bidder that wants 100% of #MUFC is the Qatari Sheikh Jassim


while Sir. Jim Ratcliffe want a partial 51%.
 
#mufc could decide to release Mason Greenwood should they find he brought the club into disrepute, or they could complete the review and send him overseas to allow themselves a further period of reflection.

#mufc’s internal investigation into Mason Greenwood is ongoing but officials are looking into a move that would see the 21-year-old head abroad for up to a year. Italy, Spain and Turkey are thought to be the three likeliest options.

[Mike Keegan]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃

#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨

#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏

#𝙂𝙂𝙈𝙐


man utd |
 
When did each club with their last major throphy?

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃

#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨

#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏

#𝙂𝙂𝙈𝙐


man utd |
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…