Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mnawaonea wachezaji bure kufungwa 2:1 wamejitahd , ni timu gan duniani hapa msimu huu inaweza simama dhidi ya mancity ?
Ni mwehu tuu anayeweza wahukumu wachezaji Kwa kipigo cha Leo
Ila nyinyi bwana Arsenal mkaisakizia ila nyinyi mnadai hakuna timu inayoweza au siyo?

Anyway, Brentford juzi tu hapo ilimsimamisha City.

United alienda na ile game plan ya kupaki basi na counter.

Shida hata mpira mkawa hampati. Na back 3 inafanya back line iwe static muda mwingi. Tatizo likawa hilo
 
Jasusi Ten Hag akiachana na operation yake ya kuifilisi MANCHESTER United ni kocha mzuri game plan ya jana ilikuwa nzuri city hawakuwa hatari kivile

(Magoli ya city yalikuwa ni juhudi binafsi na ujanja wa wachezaji)

Bruno aletewe Kane atatisha
 
De Gea hata Europe katu cost sana.

Ningekuwa Mwl ningeanza na kipa,mlinzi wa kati,Kiungo wa uhakika (Rice) na mshambuliaji anayeweza kutupatia goal 15 to 20s.

Kwa hakika msimu huu si mbaya,wachezaji wamejitahidi sana Mwl na Team nzima wametuheshimisha.

Mechi yetu na City imetoa mwanga mzuri wapi pa kurekebisha.

Wapo baadhi ya wachezaji ambao wakiuzwa wanaweza kutunisha hazina yetu na kutuongezea nguvu ya kusajili.

Hongera sana Man Utd.
 
Wacha nione usajili na wachezaji wataobaki ndo nitajua 10hag anataka nini msimu ujao kwa sasa siwezi mhukumu sana msimu ujao ndo tutamkaanga vizuri honeymoon imeisha rasmi jana.
 
Ipo wazi PUNGUZENI MATARAJIO msimu ujao na usajili utakao fanyika hauto saidia ss kuchukua kombe lolote tutaleta tu upinzani mkubwa GGMU
 
Arsenal & Man City will clash in the Community Shield to kick off the 2023/24 PL season


Manjesta fans will watch it on TV, to support Man City
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…