Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naona chacha mmekubali nyinyi ni mid table club wapinzani wenu mnawafahamu khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hahahaha Naona watu hamjui Sarcasm na hamna sense of humor. Ungeisoma hiyo article vizuri ungejua niliwakejeli "badala ya kushinda walitoka draw". Next time Someni kwa zaidi ya macho mawili. Najua sometimes Sarcasm haiji vizuri katika maandishi

Was that sarcasm or a banter?
 
Manure: Weak, Incompetent & Embarrassing, It's Almost Time For Mo No To Go



Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee







Manure: Pressure's Getting To Mo No As He Teeters On The Brink


Maure: Pressure's Getting To MoNo As He Teeters On The Brink



Come on you little fly .... .... .... ..... ...... ..... khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Some with goons' pukes on #ManUnited thread.....

Do you expect objective arguments from a goon about DM? You must be a nutty, if you do so.

If someone calls a specialist in failure, a professor, he really needs to see Aaron Beck, world famous psychiatrist.

Oh! Wait a minute, I guess Wenger is a professor of failure. If he has specialised in failure for 8 years; I guess, he is the guru in failure. He needs to be given a Nobel Prize on Failureology.
 
Walau kidogo nafarijika kuona rumours za david moyes kuweza kuwa replaced na van gaal after world cup.,to me moyes has overstayed in man utd
 
Nobody is bigger than Manchester united except. Rooney signs 5yrs contract worth up 300,000 Britishpound a week . 300K British pound a week? Rooney ni mtaalamu kinoma, baada ya miaka 3 na nusu atatingisha kiberiti tena afu watamuongezea mshahara.
 
Nobody is bigger than Manchester united except. Rooney signs 5yrs contract worth up 300,000 Britishpound a week . 300K British pound a week? Rooney ni mtaalamu kinoma, baada ya miaka 3 na nusu atatingisha kiberiti tena afu watamuongezea mshahara.

Juzi mlikuwa mnashangilia kuwa Rooney ataondoka now kaongeza mkataba mmegeuka tena,football ni pesa ndio maana Etoo alienda Anzi,Falcao akaenda Monaco,Bayern wanaitesa Dortmund sababu ya pesa .Kwa workrate ya Rooney anastahili 300k,anakaba anatengeneza na anafunga magoli
 

Sikubaliani na wewe kama anastahili pesa zote hizo. Pamoja na kuwa ni mchezaji mzuri kati ya karibia wote ndani ya Old Trafford sidhani kama ni haki kulipwa pesa zote hizo na staili anayotumia kulipwa huo ujira hauweki picha nzuri si kwa management bali hata kwa wachezaji wengine. Inaonyesha ni jinsi gani management isivyokuwa na ubavu dhidi ya Rooney na Rooney analijua hilo tangu mwaka ule alipotingisha kiberiti kwa mara ya kwanza. Management ikizidi kumpigia mchezaji mmoja magoti itashitukia wachezaji wengine wakiiga mfano wa kudai nyongeza za ujira pindi wakiwika msimu mmoja au miwili au wakijickia kuwa hakuna mchezaji mwingine anayeweza kuziba mapengo yao na mwisho utakuwa mbaya. Subiri Rooney akifikisha miaka 30 au 31 atadai nyongeza nyingine.
 
Kwa situation ilivyo sasa kumpoteza Rooney ingekuwa big loss kwa Man United,kumbuka sio rahisi kupata mchezaji dizaini ya Rooney anaijua EPL vizuri kumbuka amenunuliwa Kagawa lakini still bado anasuasua,kama mchezaji kiwango kikiongezeka anastahili kutingisha kiberiti na klabu kama inamtaka lazima itamuongezea kama Liverpoll walivyomuongezea mkataba Suarez Huu ni almost msimu wake wa 10 na still yupo kwenye form.
 

yaani wapinzani kweli hamna maana man wakiwa na akina valenica na cleverley mnasema hawastahili kuchezea man u leo wamepambana kumbakisha rooney anayestahili mnasema analipwa hela nyingi...
 
yaani wapinzani kweli hamna maana man wakiwa na akina valenica na cleverley mnasema hawastahili kuchezea man u leo wamepambana kumbakisha rooney anayestahili mnasema analipwa hela nyingi...

we acha tu sijui wanafikiri angeenda man city au chelsea angelipwa pound 50,000 kwa wiki??? Rooney is a defender,midfielder,striker rolled into one....he is our symbol now....when you see rooney you see manchester united.
 
we acha tu sijui wanafikiri angeenda man city au chelsea angelipwa pound 50,000 kwa wiki??? Rooney is a defender,midfielder,striker rolled into one....he is our symbol now....when you see rooney you see manchester united.

they cant see it,what they can see ni kwamba anaipwa hela nyingi ila hela hiyo akilipwa ronaldo wanakwambia ni stahiki yake coz anafanya kazi kubwa na anaisaidia sana timu.
 
rubaman angalia Gary Neville alichosema

"Talking about Wayne Rooney and the money he is signing for, the question you have to ask is how much does it cost to replace him?" said Neville.
"The market now is demanding. For a player who has scored the goals that he has scored in his ten years at United, you would be talking £50, £60million.
"I think from that point of view, the market forces that you have to pay the player what it would cost to replace him."
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…