Oya , mancity huwez kumkamata kwenye middle aisee , hii system aliyokuja nayo Pep mwishon hapa atasumbua SanaKama kawaida ya United leo tunakaa nyuma tukisubiri dk zetu. Hatuna wachezaji wa kuweza kucheza possessive football.
Man City ukiwakamata kwenye mid unapunguza nguvu yao. Tatizo letu kubwa ni kwenye eneo la ushambuliaji nafasi tutakazopata siyo nyingi hivyo ni lazima watu wawe clinical.
Garnacho na Sancho nawakubali kwenye kutengeneza nafasi na siyo wachoyo.
Tusubiri, muda ndiyo hakimu.
Kaka unaongea sana hivi team yako imeshinda trophy gani msimu huuBila Degea na Rashford hii timu ingekuwa alipo Chelsea
Wachambuz wanasema Degea Ni tatizo ,nikweli lakini kwa mfumo wa possession football ,
Kwa mpira huu wa 7 hag asithubutu kuleta Hawa mnawaita ma sweeper
Ndio maana Wala Hana haraka na kutafuta kipa , wakati ndio ingekuwa target ya kwanza
7 hag anaujua ukweli , niliwahi kulisema hili wakati Kepa anasajiliwa Chelsea , mashabiki wa Chelsea walinitukana Sana
Mchukue yule Kepa na footwork yake nzuri mlete manjesta akumbane na Kashi kashi zile za Degea , manjesta tutaikuta nafasi ya 12-15
Hivi kuna timu inamtaka mchezaji yoyote wa Liverpool?Janjajanja zenu mwisho wake ni leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie wenyewe mnajionea huruma mapema[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani hadi naogopa kuiangalia mechiJanjajanja zenu mwisho wake ni leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie wenyewe mnajionea huruma mapema[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo tumefika fainali kisa ujanja ujanja?Janjajanja zenu mwisho wake ni leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie wenyewe mnajionea huruma mapema[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Yani hadi naogopa kuiangalia mechi
Subiri mechi ifike utaona kama mmebadilika au hapana[emoji1787]Kwahiyo tumefika fainali kisa ujanja ujanja?
Kwamba City naye kafika kwa ujanja ujanja?
Ni Liverpuul ndio alistahili hiyo nafasi ya kucheza fainali na Arsenal?
Watu mna mawazo mabaya sana na United kisa mlishaizoea kushika nafasi za 6 ila sasa yupo 10Hag hamuamini kama timu imebadilika.
#TUMEWASHANGAZA MSIMU HUU
KwendaaHivi kuna timu inamtaka mchezaji yoyote wa Liverpool?
Dog anafaa second halfAliesababisha goli la ushindi game ya mwisho na city pale OT ni nani? Nani alimpiga chenga Ake,Akanji na Rodri(wote akawaacha) na kupenya mpaka golini akatoa assist kwa rashford tena ya tap in tu ambayo ata zuchu anafunga?? Game na barca pale OT je? Garnacho si alipewa pongezi kama zote kwa kukiwasha
Ficha ujinga wako
kumbe na ww akili huna😂😂Unayo nafasi ya kuwanyima hawa wapiga kelele wa manchester city/plastic fan
Nakumambia manchester united chukua kombe la FA au vunja KDB na rodri wasicheze fainali ya UEFA
Manchester united