This is Man United worst season in two decades and Arsenal can't beat them, ...LOL!!!
mkuu umeonaje game nahisi kama kocha angemswitch position rooney kwa mata ili atawale dimba alafu sub ya mata angetoka valencia aingie janu,nahisi ingekuwa sub nzuri zaidi tungebadilisha aproach ya mechi maana hivi vitoto vilikuwa vimetushika kati pale...
Hahaha nilikuwa boksini mkuu. Man utd lazima game plan yenu ilikuwa kupata draw, lakini C.Palace watawagonga mechi ijayo DonDonald
Msimu wake wa kwanza EPL hakuzowea mpira wa England wa kukimbiza nguruwe, ameshachoka. Subiri umuone atakavyowazungusha England World Cup summer. Afu kitu kingine hatuna anacheza na kina Giroud, sijui Giroud aliwezaje kuwa mcheza mpira ktk ligi kubwa duniani? Kina kizota, Chumila, Mogella walikuwa wanakipiga kuliko wachezaji wengi wa ulaya dizaini ya Giroud, Fellaini nk sema walizaliwa AfrikaUtd hatupakigi Bus ..... attacking football mwanzo mwisho .... mzigo Ozil ulikuwa unazunguka zunguka tuu
nimecheka mpaka basi he he he nimewasoma lol na wish iwe hivyo na ndio fikra zangu ila ni ndoto tu za alinacha sizani kama itakuja kuwa he! he! Leo hatukuhitaji Cross 81 kumfunga Fulham.Kule itakuwa off hadi tubebe Kombe kama anavyofanya mshikaji wa liverpool LoL
Hah! Rooney leo katukosesha ushindi....
Haya #OrijinoMburukenge njooni na kelele zenu hapa...
Cc: Mbu Balantanda
nimecheka mpaka basi he he he nimewasoma lol na wish iwe hivyo na ndio fikra zangu ila ni ndoto tu za alinacha sizani kama itakuja kuwa he! he! Leo hatukuhitaji Cross 81 kumfunga Fulham.
Utd hatupakigi Bus ..... attacking football mwanzo mwisho .... mzigo Ozil ulikuwa unazunguka zunguka tuu
Singasinga mweusi nakuona siku hizi unamsaidia Nzi hapa na Belo he he he! Don mwenyewe ila Ozil Mkali ila hajazoea kugongwa na kina Cattemole kina Nzonzi wanaweza kukuvunja wakamtoa Macho zaidi! Kashazoea kuguswa na Eniesta! Ila Mtoto Adinan Mkali bwana dogo Cross za Mguu wote zinafika England waakimchukua wataharibu watoto wote wa nchi za watu hata sijui vp United hawafungi kwa Cross za Junazaj. England watamuharibu Raheem,Zaha(kashaharibiwa na Moyes) na akienda Adinan.
Arsenal tutabeba treble mwaka huu EPL, FA cup, UCL. Anayebisha aweke dau.LOL
cc Belo, Nzi, Pazi.
Mama Hassan kakasirishwa na mwenendo wa Man utd khanga kaificha sandukuni, anavyaa viwalo vya Nets na Knicks tu.DonDonald, Mama Hassan hali yake siitakuwa mbaya? Manake anashinda na Kanga ya Man united mpaka sasa imechakaa bado kuchanika aifanye tambara la kudekea he! he! he! Rubaman yupo naye karibu ataenda kumsaidia Shemeji!
Ozil ni flop kuliko Reyes au Shevchenko Pazi
Ladies hata siuongo wananafasi Kubwa ya kuweka Sanamu la Eboue au Senderos Pembeni ya Henry na Begkamp kuliko kushinda hata Double wengine timu zao wakiamuwa kuweka Masanamu ya Legend naona watavunja ukuta waweke masanamu.Kwa timu yenu ya Arsenal Ladies? kama hiyo inawezekana