Unanishangaza sana hivi unafahamu Kombe lenye thamani kubwa kwa ngazi ya vilabu ni FA cup? Sasa kwanini vilabu visiwekeze nguvu zao kwenye FA bali heshima ya timu yoyote duniani ni kubeba UCL na Wala sio suara la business
Daah Antony ni wa muhimu sana kwenye derby ya FA huyu mwamba anawawezea vizuri mwacity sasa naona kabsa atakaa nje mpaka mwisho wa msimu na apo ndo tutachakazwa 4+ kwenye FA
Daah Antony ni wa muhimu sana kwenye derby ya FA huyu mwamba anawawezea vizuri mwacity sasa naona kabsa atakaa nje mpaka mwisho wa msimu na apo ndo tutachakazwa 4+ kwenye FA
Yaaani sijui ETH atumie mbinu gani ila tutabondwa sana ata hii angekua city angekua na 4-0 saivi umalizia wa Jini Tap-in marchant lisingekosa nafasi za mudryk,havertz wanazokosa