Exogenous Factor
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 1,413
- 2,358
Hivi mashabiki wa Manchester tutapa akili lini? Walahi mtu unauliza kane hata tufanyua nini kisa umri?
Sancho bado mdogo tu amna kitu.
Martial tulimchukua toka kinda mpaka leo amna kitu.
Rashford bado mdogo tu lakini wa kuungaunga.
Yani mtu unataka vijana wenye wana flop mimi walete kane tu hata kama hatasaidia msimu mmoja sio mbaya kuliko tunachukua vijana wadogo lakini bure kabisa.
Forward yetu ya sasa ni makinda matupu lakini amna kitu kabisa.
Hamna picha nyingine zaidi ya huyo bishoo hapo?Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha
Prediction
Manchester united 2 vs chelsea 1
4:00 usiku
old Trafford
Last match
Chelsea 1 vs Manchester united 1
Mnachocheza nacho hamkijui the blues hakika kitawaramba
GGMUView attachment 2634375
Huwa nashangaa sana mtu anayeuliza Harry Kane wa nini! Hivi vitoto ndiyo vinatuchelewesha pale mbele, halafu Kane bado ana misimu 3 ya kukiwasha.Hivi mashabiki wa Manchester tutapa akili lini? Walahi mtu unauliza kane hata tufanyua nini kisa umri?
Sancho bado mdogo tu amna kitu.
Martial tulimchukua toka kinda mpaka leo amna kitu.
Rashford bado mdogo tu lakini wa kuungaunga.
Yani mtu unataka vijana wenye wana flop mimi walete kane tu hata kama hatasaidia msimu mmoja sio mbaya kuliko tunachukua vijana wadogo lakini bure kabisa.
Forward yetu ya sasa ni makinda matupu lakini amna kitu kabisa.
Weighost, Malacia, Ericksen, The butcher, Casemiro, Antony na yule kutoka Bayern Munich kasajili yeye mwenyewe kwa matakwa yake lkn mpaka sasa ni wachezaji wawili tu kapati The butcher na Casemiro tu ndy wenye impact kwetuWachezaji wanaonunuliwa kuuza jezi au kocha anaowataka?