Akija kwetu ataflop tuNo Champions League football for Spurs next season
Hapa ππΌπππ ππΌππ wetu mchawi Glazzer tu.
Ningependa tuwe nae Pre Season versus ππππ‘ ππππ§ππ & π½π€π§πͺπ¨π¨ππ πΏπ€π§π©π’πͺπ£π what a momentView attachment 2620696
Akija kwetu ataflop tu
Kwangu mimi mawinga hatari ni hao wanaoanzia na herufi G wakifuatiwa na Antony hao wengine inategemea siku ya mechi wamehamkaje.Ten Hag atakuwa na kila aina ya winger. Kazi kwake.
Amad, Pellistri, Sancho, Antony, Rashford, Garnacho, Greenwood & Elanga.
Huo uwanja ukijaa upate mashabiki kama wa Morocco vichaa lazima mchezaji upate mchecheto.Michigan Stadium.
Capacity: 107,601 ila siku hiyo ulijaza mashabiki 109,318.
Aaah operation inaenda vizuriUnaiona kazi ya jasusi la kidutch ?
Ana mhujumu Maguire wazi wazi.Aaah operation inaenda vizuri
Leo umepoa hatujakuzoea hivi mwenetu jasusiAaah operation inaenda vizuri
Sancho na masho wanatoshaGarnacho
Greenwood..
Hii combo on our wings kama wangekuwa pamoja na kukomaa tungekuwa safi sana kule mbele..
Kina Anthony na Sancho wanapata nafasi kibao lakini magoli wanayofunga hamna..
Elanga unamuhesabu bado aaah .Ten Hag atakuwa na kila aina ya winger. Kazi kwake.
Amad, Pellistri, Sancho, Antony, Rashford, Garnacho, Greenwood & Elanga.
Kuna silent operation inaendelea ya kumuhujumu super captain Maguire kisiki ukuta wa BerlinHivi mbona Lendelof akicheza na watu wengine anakuwa mzuri ila akicheza na Maguire anaonekana mbovu.
Acha uongoPep alipewa β¬500M na zaidi msimu wa kwanza akafumua kikosi chooote wewe 200M unauona ni pesa ya maana
Muarabu apewe timu haraka
Kwa kipindi kile unadhani ni hela ndogo? Fuatalia hiyo fedha iliweza kununua wachezaji wangapi.Acha uongo
During his first season in England, Pep Guardiola spent β¬203 million on reinforcements for Manchester City
Ten haag hana jicho la usajili atatuletea maflopMwarabu apewe timu basi. Hao "many quality players" usikute na De Jong yupo.
π€£π€£π€£Mtalia muda si mrefuKatika point 9 tunazopigania tunahitaji point 6 tu tujihskikishie champions league.
Martinez, casemiro, ericksen hao nao wameflop???Ten haag hana jicho la usajili atatuletea maflop
Ongeza Antony,Malacia,WerghostMartinez, casemiro, ericksen hao nao wameflop???