Ila sometime jamani tujiulize tu hivi kweli mnaona timu yetu ina striker kweli pale Yani Mimi sioni kama tuna striker.
Ukiangalia takwimu za viungo pale England Bruno ndo kiungo aliyetengeneza nafasi nyingi sana za mabao kuliko kiungo yoyote lakini mabao hakuna.
Kiukweli sisi tatizo kubwa sana lipo mbele maana kufungwa hizi goal 1/2 mbona kila timu inafungwa unaona tuna angushwa sana na forward yetu kuliko chochote.