Mashabiki wa Arsenal mna muandama sana ten Hag..
Ni kweli hayupo daraja moja na kina Pep, Carlo, Jurgen and co..
Lakini ni kocha mzuri kijana anaeibukia..
Manchester United ni timu kubwa na matatizo yake ni makubwa,, ikiwa ni yeye basi itahitaji muda kupata timu nzuri..hii itaambatana na back up ya wamiliki na uongozi kama watabadilika.. bila hivyo nae atafeli na mduara utaendelea..
Chelsea wamekuwa wakipata makombe kwa njia ya kushtukiza.. fukuza huyu, leta yule, weka hamasa mpya, chukua kombe, mduara unaendelea..
Ten Hag bado ni kocha kijana anajifunza.. tunamtakia mabadiliko ya haraka..
Kosa ni kwamba timu aliyopo ina kisuli suli..wala sio uwezo kuwa mdogo..
Kipanga wa UDSM kapekekwa MASSACHUSETTS